Hahahah.mbona unajiongelea mwenyewe?Kwa Members active wa JF wote.
Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.
Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda mwingi kupost vitu visivyokuwa na maana kuliko vile vya msingi.
Sasa mbadilike. Jitahidini kuwa na Likes nyingi kuliko Idadi ya Posts.
Mtapiga kelele wenye mipost ya ovyo ovyo ila ukweli ndyo uo. Mwe natoa post zenye maana. Mnawapa kazi sana Moderators.
Huyo sio bashite pia ni kihiyomambo ya facebook unayaleta huku
Bashite wewe
Hahahahahaaaa! Hebua anza wewe kuzitoa kwanza...Wakuu naombeni likes nyingi sana hapa kwenye posti hii ili tumuumize roho yake
Hivi mfano likes anazopewa lizibon, stroke au kiazi flani hivi kunaitwa Yehonda(sina uhakika) wanakuwa wamepost logic?Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.
Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mfano likes anazopewa lizibon, stroke au kiazi flani hivi kunaitwa Yehonda(sina ukakiwa) wanakuwa wamepost logic?
Au labda kwako kitu logoc ni kipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wapo[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi bado kuna watu wanakalia kutafuta like!?
Tafuta kazi itakayokushughulisha wewe,acha kushinda JF kutwa ukifungua thd za kijinga jinga,Kwa Members active wa JF wote.
Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.
Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda mwingi kupost vitu visivyokuwa na maana kuliko vile vya msingi.
Sasa mbadilike. Jitahidini kuwa na Likes nyingi kuliko Idadi ya Posts.
Mtapiga kelele wenye mipost ya ovyo ovyo ila ukweli ndyo uo. Mwe natoa post zenye maana. Mnawapa kazi sana Moderators.
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.
Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.
Kuna Ile Picha Ya Beyonce Na Katumbo Kake Mitandao Ya Huko Nasikia Ilivunja Record Kuwa Na Likes Nyingi.Ndo uelewa wako ulipoishia. Hujaona posti za ovyo ndo zinazozoa likes nyingi na hata kupata viewers wengi? Hapo umefeli ndugu...