JF active members only: Ukiona una likes chache kuliko idadi ya post

JF active members only: Ukiona una likes chache kuliko idadi ya post

Kwa Members active wa JF wote.

Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.

Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda mwingi kupost vitu visivyokuwa na maana kuliko vile vya msingi.

Sasa mbadilike. Jitahidini kuwa na Likes nyingi kuliko Idadi ya Posts.

Mtapiga kelele wenye mipost ya ovyo ovyo ila ukweli ndyo uo. Mwe natoa post zenye maana. Mnawapa kazi sana Moderators.
Hahahah.mbona unajiongelea mwenyewe?
 
Wakuu naombeni likes nyingi sana hapa kwenye posti hii ili tumuumize roho yake
 
Mkuu una maana gani kuna wengne hana shida hakuna anaye msaidia kuna watu waangaliana na kusaidiana wanaojuana
 
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.

Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.
Hivi mfano likes anazopewa lizibon, stroke au kiazi flani hivi kunaitwa Yehonda(sina uhakika) wanakuwa wamepost logic?
Au labda kwako kitu logoc ni kipi?
 
Hivi mfano likes anazopewa lizibon, stroke au kiazi flani hivi kunaitwa Yehonda(sina ukakiwa) wanakuwa wamepost logic?
Au labda kwako kitu logoc ni kipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tangu ulipotoa hii post yashapita masaa 2 na una two likes

sasa hapa nachukua hii post yako kama sample halafu nifanye comparison ulichoandika na idadi ya likes mpaka saa 12 kama hujafikisha ten likes wewe ni kilaza na sio active member

Bashite mkubwa wewe
 
Kwa Members active wa JF wote.

Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.

Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda mwingi kupost vitu visivyokuwa na maana kuliko vile vya msingi.

Sasa mbadilike. Jitahidini kuwa na Likes nyingi kuliko Idadi ya Posts.

Mtapiga kelele wenye mipost ya ovyo ovyo ila ukweli ndyo uo. Mwe natoa post zenye maana. Mnawapa kazi sana Moderators.
Tafuta kazi itakayokushughulisha wewe,acha kushinda JF kutwa ukifungua thd za kijinga jinga,

Hao wanao ndio utakuja kujisifia kwao kua ulikua na likes nyingi na thd nyingi jf? Hizi likes ndio unawaandalia urithi wanao?

Miaka inasonga mbele na haitorudia nyuma kamwe,jitafakari kisha chukua hatua kabla ya kuharibikiwa zaidi.
 
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.

Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.

Vyenye logic kwa nani!? Ficha ubashite wako bwana!
 
Muhim sio like muhimu uzi uwe umesomwa na watu that's all
 
Ndo uelewa wako ulipoishia. Hujaona posti za ovyo ndo zinazozoa likes nyingi na hata kupata viewers wengi? Hapo umefeli ndugu...
Kuna Ile Picha Ya Beyonce Na Katumbo Kake Mitandao Ya Huko Nasikia Ilivunja Record Kuwa Na Likes Nyingi.
 
Back
Top Bottom