JF apatikane mdau anunue hii sehemu tuwe tunakwenda vacation

Ningeinunua kama ni mtende
Hapo kila mwaka inashuka centimeters kadhaa sasa hata Beckham kanipigia anataka auze flat yake nikamwambie mimi sio fala
 
Nunua twende nitakuwa napika chai na kahawa
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38]
Ntakutafuta usijali bora nimepata wa kunipa kampani ila hapo tutazama sitaki mtoto mzuri kama wewe tuzame kama Titanic huku unaniangalia nameza vibaba

Wewe huwezi kunipikia utakuwa na wafanyakazi wa shughuli hizo au sio
 
Ewaaaa umepatia kabisa hapo hatuwez zama pafupi sana wametengeneza vizuri
 
Akijitokeza nikatwe mikono.. Watu wanaomiliki villas kama hizo ni watu wenye dili za hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…