Jf-arusha wing...safari updates

Naishi Oldonyo Lengai. Nataka kushiriki
mDOGO WANGU,
Nadhani uko serious!
Cha msingi kama unataka kushiriki, basi nakutumia PM yenye maelezo ya jinsi ya kufanya.
Lakini kimsingi kesho tunafanya kikao cha kutathmini safari, kama utaweza uje, au ikiwa ngumu huenda tukakukuta hukohuko Lengai, ili uungane na sisi...na nahisi wewe utatufaa sana kama unaishi huko, maana utakuwa ni guide mzuri sana...
Nakutumia ujumbe wa siri sasa hivi...
 
Hivi anabatizwaje mtoto kabla kaka mkubwa hajaambiwa? Matesha alibatizwa tarehe 26/12. What a coincidence lol!
hehehehehe!
we takutana eapoti taongea vizuri bana
 
Heee madam oga naskia utanikimbia, unaenda kujumuikwa na wana Jf wa A town, sijui nipitie huko, tarehe zikikaa sawa ningependa kuwajoin.

Karibu sn Mamushka. kuna siti ambayo atakaa mdau anaitwa Acid, na yeye aliomba tangu mwanzo kuwa anataka akae na kiumbe wa jinsia yako.
Kwhyo najua atfurah sn.
Karibu tena bidada langu.
 
Natamani ningeweza kuja kwenye kisafari hiki chenye ladha ya peke yake lakini ndo hivyo sitaweza...PJ na wengine wote wanaondaa kina Wiselady, Preta, Lilyflower, niwatakie maandalizi mema na mbarikiwe sana.
 
JS, uko nasikia mbali sn na ramani ya Tanzania, na nasikitika kuwa huwezi kufanya hili jumuiko pamoja nasi...lakini wishes zimefika,tunakutakia heri, na utakaporudi njoo tena pale JOSHMAL, tutakuja kukusalimia.
 
Asante PJ...btw nimehama Joshmal siku hizi nikija mitaa ya kati hapo naenda pale pengine Silver Palm. Pako bomba zaidi. Inabidi wandugu wa JF wakapacheki kama hawana sehemu ya kufikia.
 
Wana Arusha hamjambo? Nasikia triple A's imekuwa ya ukweli. Hakika lazima Mchungaji aje kubariki A town.
 
Asante PJ...btw nimehama Joshmal siku hizi nikija mitaa ya kati hapo naenda pale pengine Silver Palm. Pako bomba zaidi. Inabidi wandugu wa JF wakapacheki kama hawana sehemu ya kufikia.

Silver Palm pametulia mbaya.
Shida ya watu wa Dar (teamo,asprin,MJ1,acid etc)hawapendi sehem zilizotulia kihivo. Wanamaind mitaa ya UNGA-LTD, kuna sehemu kulala ni bure ili mradi ununue nanihiino za kuanzia shing' ef tano!
 
Wana Arusha hamjambo? Nasikia triple A's imekuwa ya ukweli. Hakika lazima Mchungaji aje kubariki A town.

mkuu, AAA ni noma. Hata ile ya bongo sijui wanaita 'san'-nini sijui ya pale shekilango haigusi.
karibu, ili mradi usituambukize ile baridi ya kwenu.
 
mkuu, AAA ni noma. Hata ile ya bongo sijui wanaita 'san'-nini sijui ya pale shekilango haigusi.
karibu, ili mradi usituambuambukize ile baridi ya kwenu.

Hahahaha haya bwana! Ile mambo ya wakubwa ipo pia na kuboreshwa?
 
UPDATE 2:
Kutakuwa na kikao cha Maandalizi Siku ya Jumanne, tarehe 14/12/2010, saa 11.00 kamili jioni...tumeweka muda huo kuwawezesha wanaotoka makazini waweze kuhudhuria.
Venue itatolewa kwa wale waliowasilisha namba zao kwa pioneers wa mpango huu, hivyo jitahidi kutuma namba yako kwenye namba iliyokuPM kwaajili ya suala hili.[/QUOTE]

Hivi kuna JF members A-town...? nakumbuka niliulizia na niaambulia patupu..!!nikaishia kula bata kivyanguvyangu nilipopita pale!!
 
.
Hivi kuna JF members A-town...? nakumbuka niliulizia na niaambulia patupu..!!nikaishia kula bata kivyanguvyangu nilipopita pale!!
Mkuu wangu Mkeshahoi
Labda ulipokuja ilikuwa miaka ya 2008 huko...Lakini kunzia 2009, tunavyo vichwa vya kufa mtu...Hafi mtu njaa hapa!...Fuatilia ambo broda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…