Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Mkuu, nashukuru sana kwamba umeona hii maneno...Ni kwamba ishu hii inafanyika tarehe 27/12/ 2010..ndiyo siku ya safari, kuanzia alfajiri saa 12.00 asubuhi...
Kwahiyo mkuu hujachelewa hata kidogo, na karibu Sana...Kwa details zaidi ingia PM yako, kuna namna ya mawasiliano.
Tunakutegemea mkuu Shycase.
NASIKITIKA KUWA KWA BINAFSI YAKO ULIAMUA KUCHAGUA KUTOPOKEA PM YOYOTE TOKA KWA MWANAJF YEYOTE, NA HIVYO HATUNA JINSI YA KUKUPA UTARATIBU WA MAWASILIANO.
AKSANTE MKUU.

oh bro, sikujua kama nimezuia pm zote.
Ngoja nichek settings.
Leo trh 13/12 nipo hapa minjingu,hali ya hewa ni nzuri na inonekana kama ilinyesha 1 or 2 weeks ago.
Panapendeza na zaidi kwa watu wa Dar wata enjoy. Nipe update za kikao kesho
 
Mkuu,
Nakuheshimu sana broda..
Mipango inakwenda vizuri sana..KEsho kama tulivyoahidi, ni kikao cha mipango, ni saa 11 jioni..tungependa sana tuwe pamoja bosi wangu, lakini bahati mbaya ndo umeblock PM.
In case ukirekebisha, basi niPM nikupe mazagazaga.
Heshima mingi mkuu
PJ.
 
PJ... I wish ningeweza kuja AR mkuu lakini naona mkoloni anakaba hadi penati

dah
 
PJ... I wish ningeweza kuja AR mkuu lakini naona mkoloni anakaba hadi penati

dah
Mkuu,..ni noma...pole sana mkuu wangu, ungekuwepo ingebidi ziara iongezeke muda, maana ni lazima ungewapeleka pale CET gardern wapate yale marosti-rosti unayolambaga mkuu!
Anyway..ndo hivyo...siku hazigandi:A S clock:
 
Mkuu,
Nakuheshimu sana broda..
Mipango inakwenda vizuri sana..KEsho kama tulivyoahidi, ni kikao cha mipango, ni saa 11 jioni..tungependa sana tuwe pamoja bosi wangu, lakini bahati mbaya ndo umeblock PM.
In case ukirekebisha, basi niPM nikupe mazagazaga.
Heshima mingi mkuu
PJ.

Tupo pamoja mkubwa.
Kwa leo nimeshindwa ku-set ili niweze kupokea hizo PM au kutuma kwa sababu natumia simu ya mkononi ambayo haina option hizo.
Ahsante kwa kunielewa.
Maandalizi mema bro.
 
hivi pj na malaria sugu atakuwepo?
Huyu aliniPM akitaka nafasi, lakini nilimfanyia ile kitu kiutaalamu tunaita "counter au "outright rejection":bump:
Nilimpa sababu za kiufundi rahisi tu kuwa booking zimeshajaa!...
lAKINI AKIWA pm NI MSTAARABU SANA...Nadhani kule hadharani anakuwa kikazi zaidi.
 
ha ha ha!
 
27th nipo ndani ya Sakina! ngoja niangalie ratiba yangu! 87% more likely that i will be in the house! thanks!!
 
27th nipo ndani ya Sakina! ngoja niangalie ratiba yangu! 87% more likely that i will be in the house! thanks!!
Mkuu, karibu sana...itakuwa ni njema zaidi tukiwa pamoja...Nia yetu ni urafiki na kufahamiana zaidi na si tofauti ya hapo..naamini utafurajia...mipango inakwenda safi sana...
 
natamani sana jamani lakini ndo hivyo ntakuwa na mabox kadhaa ya kubeba hapa kwa mwajiri,lkn kuanzia tar hizo za 20-24 ntakuwa naelekea nairobi ntapita japo kukusabahi ww nae kufaham na wengine ili tudumishe undugu na urafiki zaidi.
 
Utakuwa umefanya kosa la jinai usiporipoti kwetu katika hiyo safari...na tutakuwa na haki zote kukupenalize!...
Karibu sana Pearl A-Town, tunakuandalia nusu kuku wa kienyeji!
 
kabisaaaaaaaaaaa,wasabahi na wana JF Arusha naona mna umoja sana huko,much respect kwenu.
Utakuwa umefanya kosa la jinai usiporipoti kwetu katika hiyo safari...na tutakuwa na haki zote kukupenalize!...
Karibu sana Pearl A-Town, tunakuandalia nusu kuku wa kienyeji!
 
tih tih....ako Gwandu diridiri
Heema. Marko, heema, marko gwandu! heema! marko gwandu akuunay! heema
heema na mama yako! ametaja majina yote paka ya mujomba badoa anulisa heema!
 
Jana niliongea na Mwita Maranya. Kimsingi tumeeelewana kuwa safari ya siku 1 ni fupi sana. Ingawaje inawezekana Mwita Maranya hatokuwepo, lakini ameshauri uwe na angalao siku 2. Tarangire au manyara. Then one of the day tukae tukiongea na kufahamiana. Mimi binafsi nakubaliana naye. Tunahitaji kufahamiana na kujuwana. Tofauti zetu za kisiasa na kimtizamo hazina nafasi kwa sasa. Kuna watu kama malaria Sugu humu ni mmoja wa jamii yetu! Tumtupe! Jibu ni HAPANA. ni wakati sasa tukakaa na kujuawana na kuelimishana. Sidhani kila jamii huwa na wazo moja. Kila familia huwa na watu wenye wazo tofauti na hapo jamii husika hulifanyia kazi wazo hilo. Ni wajibu wa kila mwanajamii forum mwenye nafasi siku husika kujumuika nasi pamoja. Idumu Jamii forum.
Kwa wale wlioko Moshi, naomba wani pm tujuane na ikiwezekana tujiandae kwa safari ya tarehe hiyo. Tupeane ushirikiani kwa hili.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom