Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 112
Mkuu, nashukuru sana kwamba umeona hii maneno...Ni kwamba ishu hii inafanyika tarehe 27/12/ 2010..ndiyo siku ya safari, kuanzia alfajiri saa 12.00 asubuhi...
Kwahiyo mkuu hujachelewa hata kidogo, na karibu Sana...Kwa details zaidi ingia PM yako, kuna namna ya mawasiliano.
Tunakutegemea mkuu Shycase.
NASIKITIKA KUWA KWA BINAFSI YAKO ULIAMUA KUCHAGUA KUTOPOKEA PM YOYOTE TOKA KWA MWANAJF YEYOTE, NA HIVYO HATUNA JINSI YA KUKUPA UTARATIBU WA MAWASILIANO.
AKSANTE MKUU.
oh bro, sikujua kama nimezuia pm zote.
Ngoja nichek settings.
Leo trh 13/12 nipo hapa minjingu,hali ya hewa ni nzuri na inonekana kama ilinyesha 1 or 2 weeks ago.
Panapendeza na zaidi kwa watu wa Dar wata enjoy. Nipe update za kikao kesho