Jf-arusha wing...safari updates

Karibu sana Major. Ukipanda kidogo unafika Sambarai ndo kwetu hapo
 
ijumaa tutakuwepo mkuu nimeshamwambia na wenzangu tunaofahamiana hapa arusha, nii wazo jema saaana kufahamiana
 
Derimto usinifanye niwashe kibajaji changu nije A town tarehe 17. Yaani mate yandondoka. Angalieni msiharibu mipango. Man I cant wait that date!
 
Arusha team, you just rock !!
Hongera saana PJ, Preta and the rest of the team kwa kuibua jambo jema sana. Nawatakia mafanikio ya hali ya juu.

Next time niko pande za huko..... nitawajulisheni.
Merry chrismas!
 
ijumaa tutakuwepo mkuu nimeshamwambia na wenzangu tunaofahamiana hapa arusha, nii wazo jema saaana kufahamiana
fEEL AT HOME...
Tutakuwepo kuwakaribisha...
Best wishes is what we pray for you.
 
Derimto usinifanye niwashe kibajaji changu nije A town tarehe 17. Yaani mate yandondoka. Angalieni msiharibu mipango. Man I cant wait that date!
Chelewa chelewa hiyo mkuu...utakuta mwana ashatwaliwa!
Hiyo bajaj iwekee injini ya Volkswagen, ndio huenda ukawahi kabla hawajaisha!
 
Arusha team, you just rock !!
Hongera saana PJ, Preta and the rest of the team kwa kuibua jambo jema sana. Nawatakia mafanikio ya hali ya juu.

Next time niko pande za huko..... nitawajulisheni.
Merry chrismas!
Be blessed!
Thanx for appreciation.
U r welcome.
 
Aaah... si unajua hawa vijana wa siku hizi wanasahau sana... wasamehe lakini, hakijaharibika kitu

Nikishindwa kabisa, nitamwambia St. RR au Kimey ampitie Sr. Magdalena aje kuniwakilisha
Nina mashaka sana na upako alionao sr.Magdalena, maana jumapili hii ulimtuma kwenye jumuia ndogondogo ya Mt. Yusufu wa Arimataya, akashindwa kusalisha sala ya Malaika wa Bwana'!
 
Nina mashaka sana na upako alionao sr.Magdalena, maana jumapili hii ulimtuma kwenye jumuia ndogondogo ya Mt. Yusufu wa Arimataya, akashindwa kusalisha sala ya Malaika wa Bwana'!
Mimi huku jamii kuna vituko sana. Malaika wa Bwana inasaliwaje mkuu! Big up brother
 
Hii ni optional zaidi..unaweza fanya hivyo au waweza pata kampani hukuhuku. shida ni kwamba hao wanamgombania WL kwasababu mume wake ni MZUNGU, na wanadhani watapata URITHI huyo mzungu akipatwa na lolote!!
Kweli kikulacho kiguoni mwako, mwenyekiti kaaumua kutu kuharibu....
lakini yote haya tutayajua mwisho wake tarehe 27-12-2010 ndiyo tutajua nani ni nani atakae kosa sizani kama na lake litakuwepo...
 
hao wa dar tunataka tuwaonyeshe mfano.......kwa makisio ya harakaharaka .......tumeshawafunika mbayaaa
si umeona mweka-njululu eeh?...tuko juu kama PC12
 
Tuko pamoja kaka ila niko safari kwa sasa. sasa hiyo tarehe 27/12/2010 kikao ni wapi?

naomba namakubaliano yote ya vikao tupate maazimio yetu.
 
Tuko pamoja kaka ila niko safari kwa sasa. sasa hiyo tarehe 27/12/2010 kikao ni wapi?

naomba namakubaliano yote ya vikao tupate maazimio yetu.

kikao kinachofuata ni tar 17/12 wasiliana na PJ kwa ajili ya venue
 
Asante kwa taarifa.............................Kaizerrrrrrrrrrrr!!!????????????? where r yuuuuuuuuuuuuuu?
 
UPDATE 2:
Kutakuwa na kikao cha Maandalizi Siku ya Jumanne, tarehe 14/12/2010, saa 11.00 kamili jioni...tumeweka muda huo kuwawezesha wanaotoka makazini waweze kuhudhuria.
Venue itatolewa kwa wale waliowasilisha namba zao kwa pioneers wa mpango huu, hivyo jitahidi kutuma namba yako kwenye namba iliyokuPM kwaajili ya suala hili.

UPDATE 3
Jana (14/12/2010)tulifanikiwa kuanzisha kikao(pilot-meeting), ambacho kilifanikiwa sana..Kwa ujumla ni kwamba tulitengeneza skeleton yote ya safari nzima, na matukio ya baada ya safari.
Tume'schedule kikao kingine kufanyika IJUMAA,17/12/2010, SAME VENUE, SAME TIME(0500PM)....
WITO WANGU KWA WALE AMBAO WAMEKOSA KIKAO CHA MWANZO, NAWAOMBA MSIKOSE KIKAO KIJACHO, ni muhimu sana, na ni burudani!
Baada ya kikao hicho cha Ijumaa tutatoa taarifa rasmi na FINAL kwa Umma wa JF juu ya taratibu za ushiriki(Mkono mtupu haurambwi).

Aksanteni tena.[/QUOTE]

Ndg Paka Jimy nitajitahidi vile vile na mimi niwepo ili tufahamiane. Aksante tena saana, kwa mpango huu kabambe.
 
hao wa dar tunataka tuwaonyeshe mfano.......kwa makisio ya harakaharaka .......tumeshawafunika mbayaaa

Waambie mama ngoja nakuja maana leo kuanzia mida ya saa nane nlikuwa na msala wa kufa mtu nitaurusha nikitulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…