Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Hivi unajua we bidada utapigwa ushindwe kwenda safari!...Dawa ni kukuumiza ili Derimto akukatae, halafu najua utaanza kuni'DIPU DIPU' kama ulivyokuwa unafanya mwaka jana!

PJ bana,,kwani Derimto akinikataa vijana c wamejaa????mwenyewe c unaona anavyorukaruka

:llama::llama::llama::llama::llama::llama:
 
Wamejaa wapi wakati Derimto kakupangishia selfu Olorien?...Hao vijana hela ya chai yenyewe hawana, buku-jero anataka akeshe na wewe!
 
Preta asante kwa kunijali,,,wasumbufu ni hawa wafuatao
1. PakaJimmy(chair)
2.Mzee wa Rula
3.Derimnto
4.Preta kdgo maana haleti madreva wa kike

wiselady......kutokana na kwamba umesumbua bunge zima........umesababisha katibu niamue safari ifanyike kwa bajaj...ili iwe fundisho kwa wasumbufu wote.......watajwa hapo juu tutatangulia na longbase......maeneo tutakayodhuru itategemea na nidhamu....ikishuka tutaelekea kwenye msitu mnene...ikipungua tutaelekea mchangani na itifaki ikizingatiwa basi nitawapa zawadi ya ubuyu mbichi kila mmoja ili mkavundike kwenu
 
Preta akiwepo add me to the list too

nitakuwepo kipenzi.....usiache kuja....hope utakuwa umevaa tshirt....ukija na hilo shati alafu ulifungue hivyo...utanipotezea konsetresheni ya safari....so plzzz
 
Huu ni udikteta nilijua tu italeta shida kisa viongozi ndo wasumbufu,,katibu zingatia haki kama vipi ntacheki na Crashwise tufanye walking safari moja isiyokuwa na usumbufu tuwaachie longbase yenu.
Basi katibu kwa hisani yako nihadhibie chair na Derimnto,,,wacha nifatilie cooler box za kuweka ubuyu
 
Wamejaa wapi wakati Derimto kakupangishia selfu Olorien?...Hao vijana hela ya chai yenyewe hawana, buku-jero anataka akeshe na wewe!

hahahaha! Derimto nimemwachia Preta nisije kunyimwa sit mie,,naomba usiniponze.:A S-alert1:
 
Huu ni udikteta nilijua tu italeta shida kisa viongozi ndo wasumbufu,,katibu zingatia haki kama vipi ntacheki na Crashwise tufanye walking safari moja isiyokuwa na usumbufu tuwaachie longbase yenu.
Basi katibu kwa hisani yako nihadhibie chair na Derimnto,,,wacha nifatilie cooler box za kuweka ubuyu

adhabu ya chair ni kupanda mt-7 bila kukosa....huyu derimto huyu nataka nimtafutie adhabu yake lakini mpaka nimuangalie kwanza anastahili ipi........na itabidi wakati wa kukusanya ubuyu tuwahi si unajua tutakuwa tunanyang'anyana na nyanyi
 
hahahaha!utanishtua maana kweli manyani yenyewe yamelingana na sisis hlf yanadharau hii gender,,itabidi tujipange.
Adhabu uliyotoa umenifurahisha sana ila kwa Derimto nilijua tu kuwa kutakuwa na kigugumizi.
 
Mkuu, na wewe sasa too much...WL unammiliki, ukaachiwa..sasa unataka kummiliki na huyu tena?...Mwachie ELTORO bana!...Hizo hela zako unapoteza bure...Ile laki uliyompa juzi amekuja nayo mahali jana tukaimaliza!...

Anauweza huu mziki lakini maana WL. Wenge mbaya mara Kimey mara Babu na wengine kibao mi namvumilia tu kutokana na ladha yake ya sparkling vingenevyo natulia na Preta maana yeye kawamaliza anawala hela then ananiletea change mimi si utaona baadaye!
 
hahahaha!utanishtua maana kweli manyani yenyewe yamelingana na sisis hlf yanadharau hii gender,,itabidi tujipange.
Adhabu uliyotoa umenifurahisha sana ila kwa Derimto nilijua tu kuwa kutakuwa na kigugumizi.

Anajua ladha lazima awe na kigugumizi kwani nani hapendi utamu tulia usianze kuingiza shubiri kwenye sukari yangu kama unashindwa kuzuia mipira ya adhabu ndogo unategemea nini?
 
nitakuwepo kipenzi.....usiache kuja....hope utakuwa umevaa tshirt....ukija na hilo shati alafu ulifungue hivyo...utanipotezea konsetresheni ya safari....so plzzz

Na wewe una nini tena na vifua vya watu?
mbona utulivu unakuwa kwenye kijiko?
 
Sitaki kuamini kuwa sasa hivi uko na Derimnto!!!!!!!!!ntamuomba Preta kipindi hiki alete dreva wanaume

Umeshachelewa maana huyu ndiye dereva wa maukweli na hata akiletwa mwingine ataishia kuwa mfungua milango wakati watu wameshika chupa zao za maji.
 
Wamejaa wapi wakati Derimto kakupangishia selfu Olorien?...Hao vijana hela ya chai yenyewe hawana, buku-jero anataka akeshe na wewe!

mwache alete mdomo tu zake zinahesabika na tena hao vijana sijui kama atauweza mziki wake maana wana njaa za kimagereza
 
PJ nafurahia hilo. mi nilipanga ikiwezekana niende peke yangu ngorongoro this Dec, nimefurahi. pls niweke kwenye list, nipe date, time, na meeting point. niko dar ila nitakuwa likizo. kazi nzuri
 
Kwa niaba ya PJ Ncha nakukaribisha sana,,tutafurahi ukiungana na sisi,,kwa maelezo zaid cheki PM yako.
 
PJ nafurahia hilo. mi nilipanga ikiwezekana niende peke yangu ngorongoro this Dec, nimefurahi. pls niweke kwenye list, nipe date, time, na meeting point. niko dar ila nitakuwa likizo. kazi nzuri

Yaani we acha bana. A town kulikucha jana. Ncha kama unataka kujoin pale kwenye list confirm no 13. Ncha then hopefully PJ ataedit post kwenye update no 4. Nafasi ni chache sana na siku pia. Preta ongeza longbase nyingine tafadhali.
 
Thanks a lot mkuu.... please add me into the list right now... then let us communicate immediately....
 
Mkuu, nimejaribisha kukupigia kwa voda uliyonipa nika wa sikupati..
Ni kwamba nimeshasevu namba yAko na jina tayari, na cha kufanya kwa sasa ni kutuma salio mapema tu kwenye namba inayoonyeshwa pale juu(0762320630) kwa M-PESA ili kujihakikishia nafasi...Vinginevyo tutakuwa NA KIKAO NA WEWE UTAITWA, maana umeonyesha nia ...
Nakutumia PM sasa hivi...
 
Back
Top Bottom