Hivi unajua we bidada utapigwa ushindwe kwenda safari!...Dawa ni kukuumiza ili Derimto akukatae, halafu najua utaanza kuni'DIPU DIPU' kama ulivyokuwa unafanya mwaka jana!
PJ bana,,kwani Derimto akinikataa vijana c wamejaa????mwenyewe c unaona anavyorukaruka
:llama::llama::llama::llama::llama::llama:
Preta asante kwa kunijali,,,wasumbufu ni hawa wafuatao
1. PakaJimmy(chair)
2.Mzee wa Rula
3.Derimnto
4.Preta kdgo maana haleti madreva wa kike
Una kesi ya kujibu !tafuta wakili kabsa!
Preta akiwepo add me to the list too
wiselady......kutokana na kwamba umesumbua bunge zima........umesababisha katibu niamue safari ifanyike kwa bajaj...ili iwe fundisho kwa wasumbufu wote.......watajwa hapo juu tutatangulia na longbase......maeneo tutakayodhuru itategemea na nidhamu....ikishuka tutaelekea kwenye msitu mnene...ikipungua tutaelekea mchangani na itifaki ikizingatiwa basi nitawapa zawadi ya ubuyu mbichi kila mmoja ili mkavundike kwenu
Wamejaa wapi wakati Derimto kakupangishia selfu Olorien?...Hao vijana hela ya chai yenyewe hawana, buku-jero anataka akeshe na wewe!
Huu ni udikteta nilijua tu italeta shida kisa viongozi ndo wasumbufu,,katibu zingatia haki kama vipi ntacheki na Crashwise tufanye walking safari moja isiyokuwa na usumbufu tuwaachie longbase yenu.
Basi katibu kwa hisani yako nihadhibie chair na Derimnto,,,wacha nifatilie cooler box za kuweka ubuyu
adhabu ya chair ni kupanda mt-7 bila kukosa....huyu derimto huyu nataka nimtafutie adhabu yake lakini mpaka nimuangalie kwanza anastahili ipi........na itabidi wakati wa kukusanya ubuyu tuwahi si unajua tutakuwa tunanyang'anyana na nyanyi
Mkuu, na wewe sasa too much...WL unammiliki, ukaachiwa..sasa unataka kummiliki na huyu tena?...Mwachie ELTORO bana!...Hizo hela zako unapoteza bure...Ile laki uliyompa juzi amekuja nayo mahali jana tukaimaliza!...
hahahaha!utanishtua maana kweli manyani yenyewe yamelingana na sisis hlf yanadharau hii gender,,itabidi tujipange.
Adhabu uliyotoa umenifurahisha sana ila kwa Derimto nilijua tu kuwa kutakuwa na kigugumizi.
nitakuwepo kipenzi.....usiache kuja....hope utakuwa umevaa tshirt....ukija na hilo shati alafu ulifungue hivyo...utanipotezea konsetresheni ya safari....so plzzz
Sitaki kuamini kuwa sasa hivi uko na Derimnto!!!!!!!!!ntamuomba Preta kipindi hiki alete dreva wanaume
Wamejaa wapi wakati Derimto kakupangishia selfu Olorien?...Hao vijana hela ya chai yenyewe hawana, buku-jero anataka akeshe na wewe!
PJ nafurahia hilo. mi nilipanga ikiwezekana niende peke yangu ngorongoro this Dec, nimefurahi. pls niweke kwenye list, nipe date, time, na meeting point. niko dar ila nitakuwa likizo. kazi nzuri
PJ nafurahia hilo. mi nilipanga ikiwezekana niende peke yangu ngorongoro this Dec, nimefurahi. pls niweke kwenye list, nipe date, time, na meeting point. niko dar ila nitakuwa likizo. kazi nzuri
Mkuu, nimejaribisha kukupigia kwa voda uliyonipa nika wa sikupati..Thanks a lot mkuu.... please add me into the list right now... then let us communicate immediately....