Ni bila shida yoyote.Kaka PJ.............. can I join you guys? But nafasi yangu ni tarehe 22 kwenda mbele.......sijui itawezekana?
Aksante Kaka yangu nitajitahidi.......Thank you and others ambao mmeibuni this idea............ at least this year I can have a different way to celebrate X-mas. God Bless You guysNi bila shida yoyote.
Kwa namna hiyo, basi jitahidi ili 21/12 uwepo Ars.
Ni furaha kubwa sana kama utakuwepo.
uZURI NINA CONTACT ZAKO, WILL LET U KNOW KILA DEVELOPMENT..
My wonderful dada, i count on you!
nategemea kukuona sweet pie
NB:
Members wa nchi nzima mtakaokuwa Arusha/Moshi kwaajili ya X-MAS au LIKIZO au vyovyote mnakaribishwa sana ili tuungane pamoja!
Ngongo.. Rutashubanyuma, na wengineo, tunahitaji sana inputs zenu!
Wakuu,
Nitakuwepo, lakini tarehe zinanibana. Nadhani nitakuwa nimerejea nchini by 23rd, tutawasiliana na mkuu PJ, I wish ingekuwa 26th December au 27th hapo ingekuwa rahisi sana kwangu. Nitajitahidi nijiunge nanyi

Nimeongea na PJ, ataongea nanyi kwa kirefu zaidi. The idea I gave him might be of great help, kama kutakuwa na members from Dar then itabidi ni-drive tutumie gari moja, nilipanga kutafuta flight ya 26th or 27th kutegemeana na siku mtakayopanga rasmiidea nzuri sana mkuu.....nadhani mkuu Nguli na Mwanajamione kwa tarehe hizi itakuwa imekaa vizuri kwao
Wazo hili lina mashiko ya uhakika.....................tatizo nionavyo............ni Preta...........hashikiki................................
Nimeongea na PJ, ataongea nanyi kwa kirefu zaidi. The idea I gave him might be of great help, kama kutakuwa na members from Dar then itabidi ni-drive tutumie gari moja, nilipanga kutafuta flight ya 26th or 27th kutegemeana na siku mtakayopanga rasmi
wewe tu ndio hujanishika....lakini katika hao watano waliokuwepo kwenye kikao mimi nilikuwa namba tano.....nitafurahi sana kukuona safarini
Na huu uzee nitaweza mikiki mikiki ya safari kweli?
Hata hivyo ni mapendendekezo tutakubaliana tarehe rasmi kwa kufikia matakwa ya wengi. Au unashauri nini PJ?