Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

yah!....
MORE UPDATES FROM MEMBERS KUTOKA DAR:

tulio wengi likizo zetu zitaanza tar 23 na kuendelea......!mkakati wa chini chini umeshaanza na kinachofikiriwa kwa sasa ni ku-fainalize makubaliano kwamba tunaendaje (kwenye hili tupo tayari na tumeridhia kuungana na mkuu wa kaya,kwa kuwa ameandoka kwamba anaweza kudrive,na ku-avoid unnecessary expenses ni vyema tukawa na gari moja......).

Tunasubiri watu wawili watatu ambao wapo nje ya dar kwa sababu za ki-majukumu then tutatoa kauli ya pamoja ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na mkuu wa kaya.

USHAURI BINAFSI:sikukuu zimekuwa zikiambatana na wanafamilia kukaa pamoja aidha kuwa na burudani fananishi au kitu kingine tofauti....!according to me,nilidhani kwamba iwe kati ya tar 27 hadi tar 30 december ili kupisha nafasi kwa ajili ya mtu mmoja mmoja na familia yake kwenye hivi visikukuu

NAWASILISHA
Mkuu Teamo,
Kimsingi ni kwamba, awali, tarehe ile ya kwanza ilikuwa ni too elementary set-up.
Baada ya kujadiliana kirefu na Mkuu Maxence, tumeona tui'shift hadi 27/12.
Naomba hii iwe taarifa kwa umma wa JF NA WOTE WATAKAOPENDELEA KUUNGANA NASI!
Lakini pia nitoe shukrani za pekee kwako wewe Teamo, lakini kwa wanabodi wote walioamua kuungana na Maxence kuja Arusha kufanya jumuiko na sisi.
Mungu awabariki sana, na tutakuwa tukiwapa updates!
 
Nipo nitawapataje?
Mkuu HMethod,
Mbona tuko visible kabisa?
Awali nikushukuru kwa kuonyesha uzalendo.
Hii shughuli mkuuu ipo, inawategemea sana nyie watu wa Arusha kama nguzo kuu ya kupokea ugeni huu mzito..
Naomba tutafutane kwa namba MBAZO UTAZIPATA KWENYE pm SASA HIVI!

vINGINEVYO MKUU, KEEP IN TOUCH
 
Wana, nilikua nje ya forum kwa muda lakini good news ni kwamba PJ TUPO PAMOJA
Mkuu, pamoja sana...Nafurahi kuwa hatimaye umeibuka, maana kweli ulikuwa chimbo la hatari!
Tunakutegemea sana broda kwa hii shughuli, tafadhali tuwasiliane..Nenda PM upate mawasiliano na utujibu.
Vinginevyo...we bank on you!

A-town tuko juu kama kishada.
 
I'm glad tarehe imesogewa looks like I joined JF in gud tym. Am in bila kipingamizi..
 
Lol full mnyongoroto hahaha.. Ntakuwa arachuga after 23rd so ntamiss.. Enjoy urselves

Meneja,
Hujachelewa Maalim.
Ishu inafanyika baada ya xmass, safari kamili ni 27/12/2010.
Hivyo naamini tuko pamoja sana!
PM YAKO INA MAMBO YA ZIADA, stay tuned!
 
Wana-JF wa Arusha,

Wababa :Enda-Subhai!
Wamama :Endakwenya!
Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana!

Wapendwa,

Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama mjuavyo, Maasai ndio mila/kabila PEKEE linalojaribu kushindana na kasi ya mabadiliko yaliyoasisiwa na ujio wa wageni nchini!

Nia ya post hii ni kuwajulisha wana-JF wa Arusha na maeneo ya jirani kwamba kuelekea mwisho wa mwaka 2010 tuna Mpango Kabambe wa kuasisi mijumuiko ya kijamii, ambapo kwa kufanya hivyo tutakuwa tunatekeleza kwa vitendo upiganiaji haki wetu, ambao kwa bahati mbaya umekuwa kimabandiko-zaidi kuliko uhalisia..Charity begins home...na tuanze sisi wenyewe kuonyesha kwamba mambo haya yanaweza kubadilishwa na kutendewa kazi ya kuonekana kwa macho...lets go substantial!

Jana (9/12/2010-Uhuru wa Tanganyika) wana-JF kama 5 wa hapa Arusha, tukiwa na m-JF mgeni toka Dar tulikutana mahali kwaajili ya kufahamiana na kubadilishana mawazo, tukagundua kwamba ni jambo jema sana kukaa pamoja na kuongea, na hatimaye tukaona umuhimu wa kufanya kitu cha kirafiki.

Tuliazimia kuwa tu'organize safari ya kutembelea mbuga yoyote ya wanyama iliyoko pande za huku kama ambavyo tutakubaliana, kabla ya Krismas, yaani kati ya tarehe 15-23/12/2010...

Tumegundua kuwa Arusha kuna members wengi sana(huenda kuliko Dar:grouphug🙂...!
Kwa members wote mtakaokuwa interested, tafadhali aidha onyesheni kwenye bandiko hili, au nitumieni PM, ili pamoja na mengine tufanye kikao cha awali cha logistics.

NB:
Members wa nchi nzima mtakaokuwa Arusha/Moshi kwaajili ya X-MAS au LIKIZO au vyovyote mnakaribishwa sana ili tuungane pamoja!
Ngongo.. Rutashubanyuma, na wengineo, tunahitaji sana inputs zenu!

Kiongozi,

mbarikiwe sana watu wa Arusha kwa ubunifu huu, nadhani litakuwa ni tukio la kukumbukwa daima.

JF inaingia katika level nyingine kabisa, kutoka kwenye key boards hadi kujumuika pamoja si jambo la kawaida.

Viva JF.
 
Mwenyekiti,
Thanx alot for yr appreciation.
Tunafurahi pia kuwa wewe ni mmoja kati ya watu wa5 waasisi wa wazo hili, pindi ulipotutembelea A-town.
Ubarikiwe sana, na kwa sala zenututafanikisha!
Safari njema huko Moshi, na naamini jioni tutaonana!
Be good again!
 
Meneja,
Hujachelewa Maalim.
Ishu inafanyika baada ya xmass, safari kamili ni 27/12/2010.
Hivyo naamini tuko pamoja sana!
PM YAKO INA MAMBO YA ZIADA, stay tuned!

asante kaka 2ko pamoja
 
yah!....
MORE UPDATES FROM MEMBERS KUTOKA DAR:

tulio wengi likizo zetu zitaanza tar 23 na kuendelea......!mkakati wa chini chini umeshaanza na kinachofikiriwa kwa sasa ni ku-fainalize makubaliano kwamba tunaendaje (kwenye hili tupo tayari na tumeridhia kuungana na mkuu wa kaya,kwa kuwa ameandoka kwamba anaweza kudrive,na ku-avoid unnecessary expenses ni vyema tukawa na gari moja......).

Tunasubiri watu wawili watatu ambao wapo nje ya dar kwa sababu za ki-majukumu then tutatoa kauli ya pamoja ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na mkuu wa kaya.

USHAURI BINAFSI:sikukuu zimekuwa zikiambatana na wanafamilia kukaa pamoja aidha kuwa na burudani fananishi au kitu kingine tofauti....!according to me,nilidhani kwamba iwe kati ya tar 27 hadi tar 30 december ili kupisha nafasi kwa ajili ya mtu mmoja mmoja na familia yake kwenye hivi visikukuu

NAWASILISHA

mkuu am speechless.....kitu nitafanya kwanzia sasa ni maombi tu ili wote tuwe na uzima na afya njema tuweze kulifanikisha hili....pamoja sana
 
mkuu am speechless.....kitu nitafanya kwanzia sasa ni maombi tu ili wote tuwe na uzima na afya njema tuweze kulifanikisha hili....pamoja sana

inazidi kunoga .
 
Mimi si mkazi wa Arusha.but nipo mpaka Jan 2011 nnaomba nami niwe kundini so update me
 
Big up to PJ and the Arusha chapter...

meeting another JF member is always a special feeling and I am sure you are going to have a blast!!!!

All the best buddies...:A S crown-1:
 
Mimi si mkazi wa Arusha.but nipo mpaka Jan 2011 nnaomba nami niwe kundini so update me
Mkuu, hapa hatuangalii kama wewe ni mkazi wa Arusha au la. Sifa kuu ya kuungana na sisi ni KUWA MEMBER WA Jamiiforums tu.
Nakutumia sasa hivi PM ya maelezo ya ziada...keep in touch mkuu.
 
Big up to PJ and the Arusha chapter...

meeting another JF member is always a special feeling and I am sure you are going to have a blast!!!!

All the best buddies...:A S crown-1:
Mkuu, wewe unatakiwa kuwepo without failure mkuu...wewe ni mdau muhimu sana mkuu, nadhani ukitoka mwanza unashuka straight A-Town.
We are so anxious to see you guy joining us.
 
Natamani kuwepo ila bado cjajipanga. Mimi ni mwenyeji wa Arusha pia. Wazo zuri sana kwanza chini ya my role model kaka PakaJimmy. Wish u gud
 
Nikienda Moshi 'kula krismasi' desemba ntapitia hapo asee.... mwambie Preta aniandalie mshkaki pale kwa Mromboo na Wiselady aniwekee oda ya trupa pale Mrina bar...... PJ utalipia bili ya bia hapo Picnic. Ahsante kwa mwaliko wenu...I WILL BE THERE.:whoo::whoo:

Salamu kwa Liliy Flower na Msindima tafadhali.
Mrina bar angalia usishindwa kurudi nyumbani....
 
Back
Top Bottom