Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

jamani haya mabadiliko ya tarehe yanatishia uwezekano wa mimi kuhudhuria,ila vyovyote itakavyokuwa nitakuwa pamoja nanyi ktk maombi.
 
Kutofika kwako itakuwa furaha kwangu. Sitaki kutenda dhambi. Labda ubadilishe avatar yako.
 
ungejua zawadi niliyokuwa nimekuandalia hata usingesema.
sasa ngoja nikupe tu zawadi ya maneno, UWE NA A VERY MERRY-XMAS GRANDPA!
 
In that case, I will be your guest darling....tatizo mijamaa itaanza kunionea wivu na kuchonga sana juu yetu.... Zawadi yako imepokelewa kwa mikono miwili na miguu mitatu. Thanks honey...nawe Pia Mungu akujalie Xmass yenye furaha na amani tele! Babu anakupenda granddaughter!
 
Naomba tukubaliane kuwa tutakapokutana ni marufuku kufichuana id zetu, maana nahisi kuna uwezekano wa kukutana na watu tunaofahamiana na sitaki yeyote ajue kuwa huyu ndiye Mtu B. Tukikutana tutumie majina halisi, hapo ndipo naona networking itakuwa imetusaidia kufahamiana. Nitajitambulisha jina halisi kwa wenzangu lakini sitasema kuwa mimi ndiye Mtu B. Naomba tuelewane hilo kwanza. Nina sababu zangu za msingi sana.
 
jamani haya mabadiliko ya tarehe yanatishia uwezekano wa mimi kuhudhuria,ila vyovyote itakavyokuwa nitakuwa pamoja nanyi ktk maombi.

Cheusi ni maombi yangu kwa Mungu kwamba tusikose uwepo wako lkn vile itakavyokuwa na iwe kheri.Tutakuwa kiroho zaidi
 
Naomba tukubaliane kuwa tutakapokutana ni marufuku kufichuana id zetu, maana nahisi kuna uwezekano wa kukutana na watu tunaofahamiana na sitaki yeyote ajue kuwa huyu ndiye Mtu B. Tukikutana tutumie majina halisi, hapo ndipo naona networking itakuwa imetusaidia kufahamiana. Nitajitambulisha jina halisi kwa wenzangu lakini sitasema kuwa mimi ndiye Mtu B. Naomba tuelewane hilo kwanza. Nina sababu zangu za msingi sana.

Hilo nalo neno,,tuliwaza hivyo pia nadhani itakuwa vema zaidi kutumia jina halisi badala ya hizi ID.
Kwa ufupi ni vema ID siku hiyo tukaziacha kny keyboard,mtu asiweze kujua huyu ni Mtu B labda apate maono ha ha ha
 
Tuanze na wewe, mi naitwa Christopher, naishi Tegeta Daslam, nna miaka 48 nna mke na watoto watatu, kila mtoto na mama yake. Wewe waitwa nani, mpendwa?
 
Cheusi ni maombi yangu kwa Mungu kwamba tusikose uwepo wako lkn vile itakavyokuwa na iwe kheri.Tutakuwa kiroho zaidi

I know sweetheart,ila bado najaribu kuongea na Jehovah aniwezeshe kuhudhuria,kweli sitaki ku-miss this historical event jamani lkn tarehe zimenikalia vibaya lkn usishangae 'tukiria kitochi kimoja'.
 
Tuanze na wewe, mi naitwa Christopher, naishi Tegeta Daslam, nna miaka 48 nna mke na watoto watatu, kila mtoto na mama yake. Wewe waitwa nani, mpendwa?

ha ha ha!babu hajatulia huyu!mi naitwa Sayuni naishi Ngarenanyuki mkulima stadi wa nyanya,,nafurahi sana kukufahamu Christopher.
 
Hilo nalo neno,,tuliwaza hivyo pia nadhani itakuwa vema zaidi kutumia jina halisi badala ya hizi ID.
Kwa ufupi ni vema ID siku hiyo tukaziacha kny keyboard,mtu asiweze kujua huyu ni Mtu B labda apate maono ha ha ha

ni wazo zuri sbb nafikiri wengi hawatapenda kureveal ID zao kwa sbb mbalimbali kama hivi alivyosema mtu B,,ila nadhani lisiwe sharti,ili kama mtu anapenda kusema mie naitwa Victoria lkn kwa JF najulikana kama Cheusimangala aweze kufanya hivyo.Nadhani itafurahisha kumjua mtu kwa ID na kwa jina halisi,hivyo ningeshauri wasiopenda kusema ID zao wasiseme ila wanaopenda kutaja na ID zao wawe huru pia kufanya hivyo.Mim binafsi sitaona tatizo kutaja ID yangu ya JF na jina langu halisi.
 
I know sweetheart,ila bado najaribu kuongea na Jehovah aniwezeshe kuhudhuria,kweli sitaki ku-miss this historical event jamani lkn tarehe zimenikalia vibaya lkn usishangae 'tukiria kitochi kimoja'.

Kiukweli naungana na wewe kumuomba Jehova afanye njia.Can't wait to miss u swithat
 
ni wazo zuri sbb nafikiri wengi hawatapenda kureveal ID zao kwa sbb mbalimbali kama hivi alivyosema mtu B,,ila nadhani lisiwe sharti,ili kama mtu anapenda kusema mie naitwa Victoria lkn kwa JF najulikana kama Cheusimangala aweze kufanya hivyo.Nadhani itafurahisha kumjua mtu kwa ID na kwa jina halisi,hivyo ningeshauri wasiopenda kusema ID zao wasiseme ila wanaopenda kutaja na ID zao wawe huru pia kufanya hivyo.Mim binafsi sitaona tatizo kutaja ID yangu ya JF na jina langu halisi.

Hivi luv, si tumeshakubaliana usije, na tumeshatakiana krisimasi njema? Nashukuru kukufahamu Victoria.
 
Uko sawa mpendwa kikubwa nadhani kila mtu ajitambulishe vile atakavyoona inampendeza,hata mimi sitaona shida kujitaja kwa ID yangu.Ngoja tusubiri na wadau wengine wanasemaje
 
ni wazo zuri sbb nafikiri wengi hawatapenda kureveal ID zao kwa sbb mbalimbali kama hivi alivyosema mtu B,,ila nadhani lisiwe sharti,ili kama mtu anapenda kusema mie naitwa Victoria lkn kwa JF najulikana kama Cheusimangala aweze kufanya hivyo.Nadhani itafurahisha kumjua mtu kwa ID na kwa jina halisi,hivyo ningeshauri wasiopenda kusema ID zao wasiseme ila wanaopenda kutaja na ID zao wawe huru pia kufanya hivyo.Mim binafsi sitaona tatizo kutaja ID yangu ya JF na jina langu halisi.

Cheusie darling, naomba kukuuliza na samahani kama nitakukwaza. Kuna ubaya gani wa kujitambulisha kuwa mimi ndo cheusi na jina langu halisi ni Victoria? Sisi wapwa, watu wa Darisalama JF members, tunafahamiana kwa ID zetu za JF, real names na sehemu tunazoishi na kufanyia kazi. Na hatujawahi kukwazika kwa lolote. Huwezi kuamini hata spouse zetu sasa wanafahamiana? Kwanini mnajificha? Whats a big deal? Nawashangaeni kwakweli.

Nlitangulia kuwaombeni samahani....
 
Hivi luv, si tumeshakubaliana usije, na tumeshatakiana krisimasi njema? Nashukuru kukufahamu Victoria.

sawa babu nimekuelewa,sitakuja ili kukufurahisha babu yangu,ukiwa na furaha utaishi miaka mingi hivyo furahia grandpa!
 
Cheusie darling, naomba kukuuliza na samahani kama nitakukwaza. Kuna ubaya gani wa kujitambulisha kuwa mimi ndo cheusi na jina langu halisi ni Victoria? Sisi wapwa, watu wa Darisalama JF members, tunafahamiana kwa ID zetu za JF, real names na sehemu tunazoishi na kufanyia kazi. Na hatujawahi kukwazika kwa lolote. Huwezi kuamini hata spouse zetu sasa wanafahamiana? Kwanini mnajificha? Whats a big deal? Nawashangaeni kwakweli.

Nlitangulia kuwaombeni samahani....

Labda wengine wanahofia kutokana na michango yao kny yale majukwaa mengine vinginevyo binafsi sioni shida nyingine.
 
Cheusie darling, naomba kukuuliza na samahani kama nitakukwaza. Kuna ubaya gani wa kujitambulisha kuwa mimi ndo cheusi na jina langu halisi ni Victoria? Sisi wapwa, watu wa Darisalama JF members, tunafahamiana kwa ID zetu za JF, real names na sehemu tunazoishi na kufanyia kazi. Na hatujawahi kukwazika kwa lolote. Huwezi kuamini hata spouse zetu sasa wanafahamiana? Kwanini mnajificha? Whats a big deal? Nawashangaeni kwakweli.

Nlitangulia kuwaombeni samahani....

babu hebu vaa mawani yako usome tena coment yangu,mtu B ameomba watu wasitaje ID zao,mimi nikasema hilo pia ni wazo zuri ili ambao hawapendi kufanya hivyo watajisikia huru kuja bila kuhofia kujulikana ID zao,nikasema lkn lisiwe sharti kwamba watu wote wasitaje ID ili wanaopenda kutaja id na majina yao halisi wafanye hivyo.Nikasema mimi binafsi sitaona shida kutaja ID yangu na jina langu halisi.
 
Cheusie darling, naomba kukuuliza na samahani kama nitakukwaza. Kuna ubaya gani wa kujitambulisha kuwa mimi ndo cheusi na jina langu halisi ni Victoria? Sisi wapwa, watu wa Darisalama JF members, tunafahamiana kwa ID zetu za JF, real names na sehemu tunazoishi na kufanyia kazi. Na hatujawahi kukwazika kwa lolote. Huwezi kuamini hata spouse zetu sasa wanafahamiana? Kwanini mnajificha? Whats a big deal? Nawashangaeni kwakweli.

Nlitangulia kuwaombeni samahani....

Kwenu huko labda ni sawa, lakini kwangu binafsi si sawa kabisa kwa sababu mimi hapa kwenye jukwa hili nimesema mambo yangu mengi ya ukweli kabisa nikijua sifahamiki kwa hiyo nikajisema mwenyewe kwa uhuru sana. Na naweza kusema nimefaidika na hali hiyo, yamenifaa sana majibu niliyokuwa napata hapa. Sa staki mtu ajue "ahaa kumbe yule jamaa ndiye huyu" etc, mambo ya kunijua sana undani sitaki.
 
Back
Top Bottom