Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Hilo ni wazo zuri tutalifanyia kazi, wacha tuangalie ratiba ya hizi sikukuu unajua tuna watoto eti wanatoka mashuleni, wote sio vijana.
Lakini ni vizuri hata mkiandaa tukutane mahali pazuri hapa A Town tupange vizuri!!!!!!!!!! Mbarikiwe!
 
msisahau kutuwekea picha aka taswira....jamani.All the best....:A S-alert1:
 
PakaJimmy salamu sana,
Nafikiri ni suala la msingi ambalo unatakiwa kuwajulisha wanaJF.
1- Safari ni ya siku ngapi,
2- Mbuga ambazo tutatembelea,
3- Malazi (Lodge or Camping),
4- Aina ya usafiri
Na mwisho namna ya malipo na mwisho wa kujiandikisha.
Kama nitakuwa na mchango zaidi nitakujulisha.
 
naomba nijaribu kukujibu kwa niaba ya PJ......mpaka sasa tulijadili safari iwe ya siku moja, na mbuga ni kati ya Tarangire, Manyara na Momella....hii ni kwa sababu mbuga hizi zipo karibu na kutembelea mojawapo kwa siku moja inawezekana......kwa sasa bado hatujajua aina ya usafiri ni ipi....bali tutakapo kaa kikao cha kufinalize ndio tutajua rasmi gharama ni zipi, kwenye permits,usafiri n.k........tutazidi kuwafahamisha zaidi
 
That is a very good idea, I will actually be in Arusha for xmas with family and kids,the only problem my husband isn't a JF member, but we shall be visiting some parks as well, so if u see a dame waving vigourously to a bunch ( hope I will recognise ur bunch ) thts me young me!
 
@pj
pls i hope hzo tar nitakuwa moshi so naomba contact mkuu tujumuike mungu akipenda this is goldenchance kuonana na members wa jf including u
 
Mkuu nimekujibu kwa niaba ya PJ cheki PM yako,vinginevyo tunakukaribisha sana na tutafurahi kukuona.
Cheers
 
Woow, nina assistants wa ukweli bana, sijutii kuwa bosi wao!
Sibadilishi hata nukta hapo, kila kitu ni kama alivyosema Wiselady
 
That is a very good idea, I will actually be in Arusha for xmas with family and kids,the only problem my husband isn't a JF member, but we shall be visiting some parks as well, so if u see a dame waving vigourously to a bunch ( hope I will recognise ur bunch ) thts me young me!

Too bad tht u wll miss the bunch-company Nsiande. bt u better get our number so that u track down our feetprints! i wll send it to you via PM, and i hope your old-man wont get mad when you call us
 
Thanks, I cud use some company in Arusha, PM me ur number and I will call u whilst there Godwilling
 
Well, ihv alredy sent you some details in yr pm. Btw, seduce yr old-man to join jamiifamily, enjoy yr sunday.
 
naomba nijaribu kukujibu kwa niaba ya PJ......mpaka sasa tulijadili safari iwe ya siku moja, na mbuga ni kati ya Tarangire, Manyara na Momella....hii ni kwa sababu mbuga hizi zipo karibu na kutembelea mojawapo kwa siku moja inawezekana......kwa sasa bado hatujajua aina ya usafiri ni ipi....bali tutakapo kaa kikao cha kufinalize ndio tutajua rasmi gharama ni zipi, kwenye permits,usafiri n.k........tutazidi kuwafahamisha zaidi

Ok mi nasubiri toka kwako ama kwa PJ. Gud dai
 
Wakuu msiniache, mi nimehamia kwa Mromboo kumechangamka mbaya! Weka mimi kwenye hiyo orosa tasafali!
 
Tayari umeshaingia bila chenga,,,tunahitaji ukaribu wako kwa ajili ya kuandaa vibuyu vya loshoro.

Pia cheki PM yako ASAP
 
Kwa hiyo mmekonkludi nini sasa waungwana?

Kutokana na maoni ya wengi imeonelewa iwe tarehe 27 Desemba,lakini bado mchakato mzima unaendelea kuweza kujua kuwa tutazuru wapi na kwa namna gani.Stay tuned
 
I wish to be there as i resides in monduli.
Kesho hadi tarehe 23/12 nitakuwa magugu.
Mandalizi yanaendaje.
 
Back
Top Bottom