Adolf Hitler was born and raised a Catholic, and there is no time that he recorded a renegation of that.His father is reported to have been a sceptic Catholic while his mother was a practising Catholic
hebu ona hapa
http://en.wikipedia.org/wiki/Adolf_Hitler's_religious_beliefs
Halafu hata kama alikuwa ni atheist wa some Nazi fringe, haina maana kwamba Hitler ana RFC ya Atheism, actually hakuna sect ya Atheism yenye RFC ya Atheism. This is the beauty of atheism, haina uongozi fulani, ni idea kwamba hamna mungu.
Kwa hiyo wa communist wanaoamini hamna dini wala munguwanaweza kuwa atheists, na mimi ninayewapinga wa communist lakini pia ninayeamini hamna dini wala mungu ninaweza kuwa atheist, still mimi nikawapinga wa communist kwa sababu wa communist wameua watu wengi, na mimi, on top of being an atheist, I am a humanist ninayeamini kwamba atheism should empower mankind to aspire to a higher standard of moral existence.
Ukisema Hitler killed millions in the name of Atheism, I can equally tell you that the crusaders killed millions in the name of Christianity, or that Saladin and the propher himself (SAW) killed millions ion the name of Islam.
So where do you get this moral superiority to denigrate atheism in this particular context?
Kama unataka kuangalia atheism angalia atheism in its core values, usiangalie maisha ya politicians ful;ani kama kina Stalin waliotaka kutumia communism na atheism ili kufikia their own political ends.
Hiyo itakuwa sawa na ku judge ukristo kwa kuangalia the Franks katika the Crusades.
Anachokwambia the venerable Darwin hapo juu ndicho ninachokwambia, tafuta wapi atheism yenyewe inahusika na mauaji, halafu tuletee hapa. Usituletee habari za machizi waliochanganya Atheism, Catholicism, Aryan philosophy, Superiority complex and goodness gracious knows what, ukatuletea hapa kama zao la atheism.