JF Awards 2018

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
667
Reaction score
743
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2018. Piga kura kwa member unayeona anafaa tangu tuanze mwaka mpaka sasa napendekeza categories kama ifuatavyo then members unapropose nani anafit kuwa mshindi!
1. Member kike anayewavutia sana wanume jf pm haikauki na akipost like kama zote za vidume
2. Member anayeongoza kupost thread za kiitelijensia
3. Member bingwa wa kuleta mada za migegedo
4. Mdada anayeongoza kutoa mada za kutafuta wapenzi
5. Bingwa wa thread za michezo
6. Bingwa wa thread za chaputa
7. Mshauri bora wa jf
8. Mdangaji bora
9. Hodari kula papuchi za wake za watu
10. Mchangiaji bora kila thread lazima apost na Ku like
11. .......
Unaweza ongezea kipengele nilichosahau

Nawasilisha
 
bila kusahau legend ile unampa mtu kutokana na mchango wake hapa jf hata kama sikuhz haonekani
 
Thread bora ya mwaka upande tofauti zinashindanishwa
 
Naombeni nafasi ya u 'MC' nikiikosa nipate japo nafasi ya kugawa tuzo ya binti anaewavutia vidume humu JF.
 
Mbona wale wanao ongoza kwa thread za JOKES au kuchangia jokes ktk huo uzi hawamo??
Kama vile
Freyzem
Numbisa
Stickvibration
Mifwa
Sharif
 
hiyo no. 6 ni yangu pekee, hakuna mshiriki mwingine anayefaa hapo.
 
naombeni niweee hata jukwaani pale yaani mabeba kabaasha nakatoa kwa max melo eeh nakapeleka pale mbelee kanasomwa mara nimeambiwa chukua hii hundi mkabidhi yule mnaonaje wanakamatii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…