Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #21
Usiwe serious sana mkuu. niambie basi njia za kutengeneza pesa kama zakoHizi sifa zingekuwa zinaongeza kipato tungepata akina Mo humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe serious sana mkuu. niambie basi njia za kutengeneza pesa kama zakoHizi sifa zingekuwa zinaongeza kipato tungepata akina Mo humu.
Hata mimi natafuta njiaUsiwe serious sana mkuu. niambie basi njia za kutengeneza pesa kama zako
Sawa ngoja nijiparee. Hahaha nimecheka, sijamwambia hata kwani si atakuwa aliona tunavyoongea hapa akaona ya nini aendelee kukutesa mtoto wa kike wakati wengine hii bahati wanaililia
Hahaha we mtoto acha kunivunja mbavu. Ni rahisi tu kujijua kwani unadhani mimi nimemjuaje?Asa mbona hatukumtaja ye kajijuaje?ama alielewa code?
Hadi nimescreenshot alipolike ili nikikasirika niwe naangalia picha
Hahaha we mtoto acha kunivunja mbavu. Ni rahisi tu kujijua kwani unadhani mimi nimemjuaje?
Don Clericuzio unaitwa huku mtoa mada kashindwa kumensheni
Eti wewe unaupole gani mkuu?Don Clericuzio unaitwa huku mtoa mada kashindwa kumensheni
Bila shaka ameona [emoji3][emoji3] siku si nyingi utakuwa na mgeniLoh!
Kama kajua mbona naona aibu aseee
Niombee basi siku ingine apitilize hadi PM kwangu [emoji852][emoji45]
Wanachangamsha jukwaaSawa.
Naona ndege JOHN na huyu pancho boy threads zao za namna hii zimekuwa nyingi.
List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..
Baada ya kuja na ile list ya watu peace humu ndani japo walikuwa wachache. Sasa hii ni list ya wana jf namna wanavyovaa na mitindo wanayoipenda.. Magonjwa mtambuka -huyu ni mtu wa age kama 40 hivii.. Yeye anapenda kuvaa suruali za kitambaa na mashati mara nyingi huwa ya mikono mirefu japo...www.jamiiforums.com
List ya wanawake humu ndani ambao wako peace,wasio na shida na watu..(wanawake)..
Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache.. Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa.. Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo.. Shadeeya - Blaki womani- Shunie - Aggyjay - Ledada -japo ana mikogo sio Hawachi - Khantwe -japo anapenda sana...www.jamiiforums.com
Hii ni list ya watu ambao wako peace humu ndani..
Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu.. Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu. Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu.. Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace. Pia anapenda sana masikhara Hali...www.jamiiforums.com
![]()
Top JF'S girl of the week Ni joanah
Wengi walikuwa nominated wakina demiss, kapeace,mama sabrina,hornet,ihera na wengineo Ila wote Hawa joanah kawakimbiza mbali na katika rank amesimama namba Moja na kufanikiwa kuchukua award hii ya "girl of the week"..vigezo vilivyoangaliwa Ni michango mingi,likes nyingi,n.k Kwaniaba ya Watafuta...www.jamiiforums.com
WanaJF Bora wa siku zote
Mimi nafikiri Kama Ni tuzo imeletwa wanagombea watu wawili mshana Jr na Paschal mayala me naona itakuwa ngumu Sana kujua mshindi Nani maana wote Wana jua secret knowledge kwa kiwango kikubwa.Nakubali kabisa ili ufanikiwe inabidi uchukue dhamiri walizobeba ndani ya roho zao. Best ID asanteni...www.jamiiforums.com
Members useful Sana JF
Kila mtu angeambiwa ataje mentor wake wa hapa JF Mimi watu wangu ambao Wana mchango mkubwa Sana katika maisha yangu na nimeguswa Sana kwa namna walivyotupatia msaada kupitia thread na michango yao Ni 1.mshana jr.huyu nadhani ndio mtu ambaye mabandiko yake mengi yameathiri pakubwa sana...www.jamiiforums.com
Haha sikuona kama nipo nominated au ameedit, lakini mkuu kwani mimi sio mpole?Eti wewe unaupole gani mkuu?
Sikuoni kabisa kwenye database yangu.. Ila nakuona kwenye Mabinti wabichi wabichi. [emoji23][emoji23]Haha sikuona kama nipo nominated au ameedit, lakini mkuu kwani mimi sio mpole?
Loh!
Kama kajua mbona naona aibu aseee
Niombee basi siku ingine apitilize hadi PM kwangu ☹😟
Halafu unajua muhusika ni wewe
Halafu unajua muhusika ni wewe
8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio umebugi bora hata mtoa mada anaweza kuwa anaelekeaSikuoni kabisa kwenye database yangu.. Ila nakuona kwenye Mabinti wabichi wabichi. [emoji23][emoji23]