Jf awards (nominees)

Sawa ngoja nijiparee. Hahaha nimecheka, sijamwambia hata kwani si atakuwa aliona tunavyoongea hapa akaona ya nini aendelee kukutesa mtoto wa kike wakati wengine hii bahati wanaililia

Asa mbona hatukumtaja ye kajijuaje?ama alielewa code?

Hadi nimescreenshot alipolike ili nikikasirika niwe naangalia picha
 
Don Clericuzio unaitwa huku mtoa mada kashindwa kumensheni

Sawa.

Naona ndege JOHN na huyu pancho boy threads zao za namna hii zimekuwa nyingi.






 
Wanachangamsha jukwaa
 
Sikuoni kabisa kwenye database yangu.. Ila nakuona kwenye Mabinti wabichi wabichi. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio umebugi bora hata mtoa mada anaweza kuwa anaelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…