JF Battle of the day! Hanscana vs Dr. Kenny.

JF Battle of the day! Hanscana vs Dr. Kenny.

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
JF Battle of the day! Hanscana vs Dr. Kenny.

Hanscana (Hanscana Brand)
Amesimamia ama kutengeneza videos za muziki 100+ baadhi ya kazi hizo ni "Iokote" Hanstone Ft. Maua Sama, "Turn Up" Country Boy Ft. Mwana FA, "Happy Birthday" Harmonize, "Fresh" Fid Q Ft. Diamond Platnumz & Rayvanny na nyingine nyingi.
Pia ameanda matangazo ya biashara (Commercials) kama Coca-Cola na Vodacom.

CONS: Utumiaji wa rangi mbalimbali, Brightness na Contrast ya kiwango kukubwa inayopelekea macho kuuma/kuwasha, kichwa kuwanga na asili ya watu na vitu kupoteza uhalisia.

Dr. Kenny (Zoom Production)
Short movie & video director huyu wengi tumemfahamu kupitia "Sikomi" Diamond Platnumz kisha "Hodari" Mbosso, "Picha Yake" Mbosso, "Kwangwaru" Harmonize Ft. Diamond Platnumz (2018 most viewed music video in Africa) na nyingine nyingi.
Pia ameanda (Commercials) Diamond Karanga nk.

CONS: Baadhi ya videos zake ametumia Sharpen code kwa kiasi kikubwa inayopelekea kwa wakati mwingine video/s kupoteza uhalisia.

Tunafahamu kuwa wote ni bora. Lakini nani bora zaidi kwako na kwa vigezo vipi?
Note: (JF Battle of the day! ni mada mahsusi kwa wana JamiiForums, ni marufuku kutumia ama kunakili pasipo idhini ya JamiiForums, Mtoa mada au Credit give out. (Online TV, YouTubers na Bloggers) tunawaangalia.

All rights reserved! ©JamiiForums2019
 
Yote hayo lakini hanscana inatakiwa apewe heshima yake kwa muda ambao amedumu tofauti na Kenny
 
Hanscana
ni mzoefu
kidogo kumzidi
Kenny wa Zoom
production,but
Kenny he iz very
creative at all,
Yaan kwenye
video zake
unaweza dhani
ni Director
Kutoka mbele
asingekua
anaweka jina
kama wale
ma director
wa puorto rico
au Nick campos,
Hanscana
lights zake kama
zinafanana
karibia kila
video,,
Kenny iz modav*ckin
Dude..
 
Hanscana
ni mzoefu
kidogo kumzidi
Kenny wa Zoom
production,but
Kenny he iz very
creative at all,
Yaan kwenye
video zake
unaezadhani
ni Director
Kutoka mbele
asingekua
anaweka jina
kama wala
ma director
wa puorto rico
au Nick campos,
Hanscana
light zake kama
zinafanana
karibia kila
video,,
Kenny iz modav*ckin
Dude..
Mbona Directors was Puerto Rico na Latin wanaweka?!
 
tizama tetema by rayvanny afu uje unambie kenny ni nani!!
 
KENNY SIO MTU MZUR ACHENI KUMFANANISHA NA HANSCANA



LEVO ZA KENNY NA HANSCANA NI KAMA MESSI NA SAMATA





KENNY ANAJUA ITAZAME TETEMA AFU UTAONA UBORA WA KIWANGO CHA JUU


I AM SINA JAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnanichekesha mnavyosema Kenny ni creative wakat idea zote anaiba to. Hanscana Video yake kubwa ya kwanza alifanya na Navy kenzo huko vijijin na vifaa vya kawaida lkn hiyo video ni moto. Uclinganishe mbingu na ardhi ukimpa hanscana hizo location na vifaa vya Kenny hautaamin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenny alikuwa nyuma ya video nyingi za hanscana kabla ya kupata shavu zoom production.So video nyingi za hanscana za kitambo ana mkono wake pia
 
Editor wa zoom production hana ubunifu video zote ni vile vile
 
Huyo kenny video zake zinafanana sana..

Hanscana nayeye video zake znafana pia..rahis kujua ni yeye

Kwangu hadi sasa Travellar ndio mtu ninae kubali kaz zake..

Kazi anazofanya kwetu studio huez jua kama ni msafir hadi nyimbo iishe pale unaona logo ya kwetu studio..jamaa hakaririki..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sio wote chaliangu,
Wengi hawawekagi
majina yao,
alaf video zao
ni nyoko aisee.
Daniel Duran (Namjua Personal) Anaweka
JP Valencia Anaweka
Cat Kathe (Mrs Dan Duran) Anaweka
Rodriguez Carmosa "Rodrigo Films" Anaweka
Angel Barroeta "2 Wolves, under Dan Duran" Anaweka
Kumar "Freelancer" Anaweka

Na hao ndio wameshika solo la Latin America, South America, US & Canada
 
Mnanichekesha mnavyosema Kenny ni creative wakat idea zote anaiba to. Hanscana Video yake kubwa ya kwanza alifanya na Navy kenzo huko vijijin na vifaa vya kawaida lkn hiyo video ni moto. Uclinganishe mbingu na ardhi ukimpa hanscana hizo location na vifaa vya Kenny hautaamin

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana ni washikaji
 
Daniel Duran (Namjua Personal) Anaweka
JP Valencia Anaweka
Cat Kathe (Mrs Dan Duran) Anaweka
Rodriguez Carmosa "Rodrigo Films" Anaweka
Angel Barroeta "2 Wolves, under Dan Duran" Anaweka
Kumar "Freelancer" Anaweka

Na hao ndio wameshika solo la Latin America, South America, US & Canada
Mkuu wewe
pia ni video
director eeh??
 
Back
Top Bottom