JF Battle of the day! Hanscana vs Dr. Kenny.

unajua haya mambo yapo kama mbio za vijiti ni kupokezana tu, Adam Juma, Nisher, Khalfan, Jowzey, Hanscana na wengi waliopita sasa ni zamu ya Kenny jamaa kwa swala zima la creativity yupo vizuri videos zake hazitabiriki all in all Kenny yupo vizuri.

kwa namna fulani wasanii wa bongo kama wamemtenga hivi videos nyingi alizofanya ni za WCB tu, sasa sijajua maswala ya financial sijui yapo juu au ndo kisa anatokea WCB
 
Kweli nahisi gharama zake yaweza kuwa sababu.
 
Gharama zinatokana na aina ya vifaa vinavyotumika....kwa bongo hakuna anaefikia ubora wa camera na vifaa vingine alivyo invest domo
Oh! Sasa Diamond anarudishaje faida maana 95% ya videos za Kenny ni kwa WCB.
 
Kenny ni mkali kuliko Hansicanna?? Videos zake za indoor zote kaweka matubelight ya rangirangi preset za kudownload , colorgrading mtihani kwake, maflare ya free kudownload [emoji23][emoji23][emoji23]colorcolection mbovuuu, anaongeza maflare kuficha udhaifu wa skintone zake za hovyo [emoji23] .mshaurini rangi akajifunze hata kwa Jowzey basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee
 
Oh! Sasa Diamond anarudishaje faida maana 95% ya videos za Kenny ni kwa WCB.
Huu mwaka hauishi atakuwa amesharudisha INDIRECTLY (kama hajarudisha)! Nadhani sote tunakubaliana kwamba Diamond ni mtu anayezingatia sana ubora wa video zake! Kutokana na hilo, mara nyingi videoz zake alikuwa anafanya njia ya nchi! Sasa zile gharama za flights, expensive production crew team, accomodation, Visa and miscellenous ni gharama alizokuwa anaingia kutengenea video ambazo hivi sasa atakuwa haiingi tena!

Na usisahau, hao akina Rayvann sio kwamba wanafanya bure; lazima na wenyewe walipie!!
 
Nimekuelewa sana.
 
Wote wazuri, sema Kenny naonaga anarudia sana ideas, mfano ile ya kutumia matube light nadhani video zake karibu zote alizofanya indoor kaitumia, anachobadilisha ni uwekaji tu wa hizo taa[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom