princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
AbsolutelyUsername yako
Na Ujuaji wa
Vitu kuhusu
Industry ya
Video directing
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kenny vs Hanscana hatujazungumzia WCB.
Oooh ok ifute basi usifeNi Kenny vs Hanscana hatujazungumzia WCB.
Nimekurekebisha kwa uzuri nikiamini hukosoma thread vizuri.
Kweli nahisi gharama zake yaweza kuwa sababu.unajua haya mambo yapo kama mbio za vijiti ni kupokezana tu, Adam Juma, Nisher, Khalfan, Jowzey, Hanscana na wengi waliopita sasa ni zamu ya Kenny jamaa kwa swala zima la creativity yupo vizuri videos zake hazitabiriki all in all Kenny yupo vizuri.
kwa namna fulani wasanii wa bongo kama wamemtenga hivi videos nyingi alizofanya ni za WCB tu, sasa sijajua maswala ya financial sijui yapo juu au ndo kisa anatokea WCB
Gharama zinatokana na aina ya vifaa vinavyotumika....kwa bongo hakuna anaefikia ubora wa camera na vifaa vingine alivyo invest domoKweli nahisi gharama zake yaweza kuwa sababu.
Oh! Sasa Diamond anarudishaje faida maana 95% ya videos za Kenny ni kwa WCB.Gharama zinatokana na aina ya vifaa vinavyotumika....kwa bongo hakuna anaefikia ubora wa camera na vifaa vingine alivyo invest domo
AiseeeKenny ni mkali kuliko Hansicanna?? Videos zake za indoor zote kaweka matubelight ya rangirangi preset za kudownload , colorgrading mtihani kwake, maflare ya free kudownload [emoji23][emoji23][emoji23]colorcolection mbovuuu, anaongeza maflare kuficha udhaifu wa skintone zake za hovyo [emoji23] .mshaurini rangi akajifunze hata kwa Jowzey basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu, mtu anatumia gear za next level kama LED matokeo yake ya hovyo kuliko 80d au 5d mark 111, najua video's ni ideas Kamera inakurahisishia zile idea kwa audience kuzipeleka, kama mtu unajua hata upewe 610 canon utanyoosha tuAiseee
nice,apo nimekudere dingii kenny ni maestro aseetizama tetema by rayvaniny afu uje unambie kenny ni nani!!
Huu mwaka hauishi atakuwa amesharudisha INDIRECTLY (kama hajarudisha)! Nadhani sote tunakubaliana kwamba Diamond ni mtu anayezingatia sana ubora wa video zake! Kutokana na hilo, mara nyingi videoz zake alikuwa anafanya njia ya nchi! Sasa zile gharama za flights, expensive production crew team, accomodation, Visa and miscellenous ni gharama alizokuwa anaingia kutengenea video ambazo hivi sasa atakuwa haiingi tena!Oh! Sasa Diamond anarudishaje faida maana 95% ya videos za Kenny ni kwa WCB.
Nimekuelewa sana.Huu mwaka hauishi atakuwa amesharudisha INDIRECTLY (kama hajarudisha)! Nadhani sote tunakubaliana kwamba Diamond ni mtu anayezingatia sana ubora wa video zake! Kutokana na hilo, mara nyingi videoz zake alikuwa anafanya njia ya nchi! Sasa zile gharama za flights, expensive production crew team, accomodation, Visa and miscellenous ni gharama alizokuwa anaingia kutengenea video ambazo hivi sasa atakuwa haiingi tena!
Na usisahau, hao akina Rayvann sio kwamba wanafanya bure; lazima na wenyewe walipie!!
HahahaWote wazuri, sema Kenny naonaga anarudia sana ideas, mfano ile ya kutumia matube light nadhani video zake karibu zote alizofanya indoor kaitumia, anachobadilisha ni uwekaji tu wa hizo taa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app