kisale wakisale
Senior Member
- Dec 18, 2016
- 158
- 204
Weka picha mkuu
Wewe weka tu mkuuMkuu hata nikiweka picha hutasadik
Unajihusisha na huduma gani mkuu ili na mimi niweze kukutana na wewe?Jf bhana kutokana na aina yangu ya huduma nakutana na member kibao. Kifupi huwez jua hata jina na avatar yake ila tunaelewana vizur kimbenbe kujuana Nick name tuu.... Ila thanks brothers and sisters tuliomeet pamoja but Jf ndio kila kitu kwangu
Ukikutana na mnene kama bango la ubungo terminal ni mimi
Hahaa ina maana kapatia !!?Hahaaa daah mkuu unamjua vyema nn
Hv hilo bango bado lipo? [emoji848][emoji848]Ukikutana na mnene kama bango la ubungo terminal ni mimi
Au lile la pepsi mkuu pale daraja la mwendokasiUkikutana na mnene kama bango la ubungo terminal ni mimi
Mkuu unatoa huduma gani?upo kona bar au mori?
Mwenye machacha miguuni pia, hapo ndipo atakufahamu kirahisi.