kisale wakisale
Senior Member
- Dec 18, 2016
- 158
- 204
Jf bhana kutokana na aina yangu ya huduma nakutana na member kibao. Kifupi huwez jua hata jina na avatar yake ila tunaelewana vizur kimbenbe kujuana Nick name tuu.... Ila thanks brothers and sisters tuliomeet pamoja but Jf ndio kila kitu kwangu