Mawazo ya watu yana security gani humu JF?
Mkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.
Kinaitwaje hicho kitabuTengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
Hichi ni kidogo tu Kwa bidhaa chache. Nicheck whatsup 0762208190Kinaitwaje hicho kitabu
Kama cha kiswahili nisiangaike kukuchek whatsappHichi ni kidogo tu Kwa bidhaa chache. Nicheck whatsup 0762208190
Ndio kiswahili ili watanzania wa some welewe wewe ulitaka kingereza.Kama cha kiswahili nisiangaike kukuchek whatsapp
Ndio kiswahili ili watanzania wa some welewe wewe ulitaka kingereza.
Nimesha Weka picha mkuuYaaa mm nilitaka kingereza . Weka hata picha watu waone mbona unakimbilia whatsapp sana why?
[emoji1] [emoji1] malipo tena bora nikae na wazo languMkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.
Nimeshajibu, nikupa mfano mdogo tu, Mkurungenzi wa IPP Media R.MENGI Mwaka juzi 2015 alianzisha shindano la wazi liloitwa 3N Ktk mtandao wa twitter, yaani una mtaga tu then unaandika wazo lako public, na hakuna alielalamika. Wewe kama unaogpopa kuibiwa wazo lako, usihangakike kushiriki,Katika wotte mnaobwabwaja humu ndani,,,, huyu jamaa salute, kauliza swali lamsingi xana...... Our ideas are worth than yur Gifts,,, how can yu protect them??
jAZA NYAMA KIDOGO BASI MKUU,MAANA TUPO KWENYE IYO SEKTA YA BIMA .INAWEZEKANA IKAFANYIKA CHIEFMimi wazo langu ni kuanzisha kampuni inayotoa Bima ya Mapenzi na Ndoa. Hii ni kutokana na utafiti wangu ulionionesha kuwa eneo hili lina wadau wengi hivyo nitakuwa na uhakika wa wateja hasa ukizingatia kuwa nitakuwa wa kwanza kuwekeza kwenye biashara hii.
Ni matumaini yangu kuwa wazo langu litafanya vizuri kwenye shindano.