JF business ideas competition

JF business ideas competition

Mawazo ya watu yana security gani humu JF?

Katika wotte mnaobwabwaja humu ndani,,,, huyu jamaa salute, kauliza swali lamsingi xana...... Our ideas are worth than yur Gifts,,, how can yu protect them??
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Mkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.

Ni bora ungeanzisha platform tofaut na JF ili watu wanaotaka kushindane wajiunge na kulipia. Thanks
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
Kinaitwaje hicho kitabu
 
Kama ni hich kibatu sema maana nakitafuta sana
 
Attachments

  • Africa_27s_20First.jpg
    Africa_27s_20First.jpg
    42.6 KB · Views: 43
Mkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.
[emoji1] [emoji1] malipo tena bora nikae na wazo langu
 
Katika wotte mnaobwabwaja humu ndani,,,, huyu jamaa salute, kauliza swali lamsingi xana...... Our ideas are worth than yur Gifts,,, how can yu protect them??
Nimeshajibu, nikupa mfano mdogo tu, Mkurungenzi wa IPP Media R.MENGI Mwaka juzi 2015 alianzisha shindano la wazi liloitwa 3N Ktk mtandao wa twitter, yaani una mtaga tu then unaandika wazo lako public, na hakuna alielalamika. Wewe kama unaogpopa kuibiwa wazo lako, usihangakike kushiriki,
 
Mimi wazo langu ni kuanzisha kampuni inayotoa Bima ya Mapenzi na Ndoa. Hii ni kutokana na utafiti wangu ulionionesha kuwa eneo hili lina wadau wengi hivyo nitakuwa na uhakika wa wateja hasa ukizingatia kuwa nitakuwa wa kwanza kuwekeza kwenye biashara hii.

Ni matumaini yangu kuwa wazo langu litafanya vizuri kwenye shindano.
jAZA NYAMA KIDOGO BASI MKUU,MAANA TUPO KWENYE IYO SEKTA YA BIMA .INAWEZEKANA IKAFANYIKA CHIEF
 
Lin raia watawacha kupenda ki slop??sasa mnataka jamaa atoe pesa yake mfukoni?
 
Back
Top Bottom