JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Nimekumiss! Kitimoto lini
Miss you too.
Hicho kitimoto kimeshapepea yani hapa tufikirie new year maana huu mwaka tunaforce sana hadi mwaka wenyewe unatushangaa kama tupo kwenye right mind. Bongoo kweli bora uondoke ephe😁😁
 
Miss you too.
Hicho kitimoto kimeshapepea yani hapa tufikirie new year maana huu mwaka tunaforce sana hadi mwaka wenyewe unatushangaa kama tupo kwenye right mind. Bongoo kweli bora uondoke ephe😁😁
Natafuta ndugu maenje huko nikazamie😂
 
Weuweeee! Kumbe tupo US ila hapa hatuko free kubonga!
Basi nakuja kule tupange mambo yetu☺️
We furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maisha😁
 
Tafuta tu scholarship au umuombe ushauri mange jinsi ya kupata mubaba wa kizungu. Mbona chaap 😁😁
Itabidi niongee na ndugu yangu Fanton Mahal anitafutie scholarship maenje
We furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maisha😁
Min me ni mtu mzuriii sanaaa kama wewe hawezi fanya hivyo
 
Hii
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.

We chat..

Hello jf..?
 
Back
Top Bottom