Kitimoto kila siku? Ndio maana haupungui weweππNimekumiss! Kitimoto lini
π£Tuongee habari za US! Nishaanza kupanga nguoTutaongea usijali ,tupia ngoma basi
Miss you too.Nimekumiss! Kitimoto lini
Kausha nipo kidimbwi weweπππ£Tuongee habari za US! Nishaanza kupanga nguo
Unanidanganya wewe muongomuongoπKausha nipo kidimbwi weweππ
Natafuta ndugu maenje huko nikazamieπMiss you too.
Hicho kitimoto kimeshapepea yani hapa tufikirie new year maana huu mwaka tunaforce sana hadi mwaka wenyewe unatushangaa kama tupo kwenye right mind. Bongoo kweli bora uondoke epheππ
Weuweeee! Kumbe tupo US ila hapa hatuko free kubonga!Tupia ngoma siwi huru kuzungumza hayo bhanaπππ
Unaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chapNatafuta ndugu maenje huko nikazamieπ
Tafuta tu scholarship au umuombe ushauri mange jinsi ya kupata mubaba wa kizungu. Mbona chaap ππNatafuta ndugu maenje huko nikazamieπ
We furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maishaπWeuweeee! Kumbe tupo US ila hapa hatuko free kubonga!
Basi nakuja kule tupange mambo yetuβΊοΈ
Professional works au zile za hand to mouth na kupiga picha kwenye city parks πUnaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chap
Umejitetea mapema sana πApana mkuu ππ
Itabidi niongee na ndugu yangu Fanton Mahal anitafutie scholarship maenjeTafuta tu scholarship au umuombe ushauri mange jinsi ya kupata mubaba wa kizungu. Mbona chaap ππ
Min me ni mtu mzuriii sanaaa kama wewe hawezi fanya hivyoWe furahia tu maana unaweza kukuta min -me ni dealer wa figo na kongosho kutoka Africa. Unaenda US kutafuta maisha ila mwisho wa siku unampa mtu mwingine maishaπ
M10 tena natolea wapiii min meπ£Unaweza zamia bila hata ndugu andaa m 10 tu kabla hiyo pesa haijakata kupata kazi ni chap
Kopa inarudi wiki mbili tu hiyo ukifikaππππM10 tena natolea wapiii min meπ£
Hivi kumbe mimi ni mtu mzuri πItabidi niongee na ndugu yangu Fanton Mahal anitafutie scholarship maenje
Min me ni mtu mzuriii sanaaa kama wewe hawezi fanya hivyo
Kumbe hunipendi weweπ£Kopa inarudi wiki mbili tu hiyo ukifikaππππ
Yes! πHivi kumbe mimi ni mtu mzuri π
Hii compliment itakuwa imekuja kwa udhamini wa brother ivan
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every time we will be there.
We chat..
Hello jf..?