Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Tizi haujapiga najua😁Hapana
Yeah! Sina equipmentsTizi haujapiga najua😁
Mazoezi sio lazima uwe na vifaaYeah! Sina equipments
Bila vifaa inachosha wewe!Mazoezi sio lazima uwe na vifaa
Kuna mazoezi bila vifaa yapo youtube ukiweza yafuatisha kwa bidii ni zaidi ya vifaa ,pia unaruka na kamba unachangamka.Bila vifaa inachosha wewe!
Unatumia nguvu nyingi muda mrefu matokeo kidunchu
Vifaa unatumia nguvu wastani muda mchache matokeo debe
Mmmh! Kuruka na kamba naogopa nyama za nyuma zitapungua!Kuna mazoezi bila vifaa yapo youtube ukiweza yafuatisha kwa bidii ni zaidi ya vifaa ,pia unaruka na kamba unachangamka.
😁😁😁Haziwezi pungua ndio zitakaa vizuri zaidi sasa.Mmmh! Kuruka na kamba naogopa nyama za nyuma zitapungua!
Mimi nataka mazoezi yale ya kushughulikia sehemu moja tu pengine paachwe hivyohivyo
Aah wee! Tayari lipo vizuri hadi natamani nikatoe ushuhuda kanisani☺️😁😁😁Haziwezi pungua ndio zitakaa vizuri zaidi sasa.
Ukitoa kwangu inatosha kanisani wanataka sadaka tu😁Aah wee! Tayari lipo vizuri hadi natamani nikatoe ushuhuda kanisani☺️
😉Kwako nishatoa ushuhudaUkitoa kwangu inatosha kanisani wanataka sadaka tu😁
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every time we will be there.
We chat..
Hello jf..?