JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Bila vifaa inachosha wewe!
Unatumia nguvu nyingi muda mrefu matokeo kidunchu
Vifaa unatumia nguvu wastani muda mchache matokeo debe
Kuna mazoezi bila vifaa yapo youtube ukiweza yafuatisha kwa bidii ni zaidi ya vifaa ,pia unaruka na kamba unachangamka.
 
Mmmh! Kuruka na kamba naogopa nyama za nyuma zitapungua!
Mimi nataka mazoezi yale ya kushughulikia sehemu moja tu pengine paachwe hivyohivyo
 
😁😁😁Haziwezi pungua ndio zitakaa vizuri zaidi sasa.
 
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.

We chat..

Hello jf..?
 
Attachments

  • 20240725_073245.jpg
    20240725_073245.jpg
    115.9 KB · Views: 2
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.

We chat..

Hello jf..?
 
kaka Mshana Jr mbona umefufuka nakuanza kwa kuniandama hivi kuna usalama kweli...??
 
Back
Top Bottom