Nashusha mistari inayoendana na gen ZKi vipi? ebu shusha mistari tuipime kama ina vigezo
Utanicheki kwenye lile chimbo kwa muda wako πNashusha mistari inayoendana na gen Z
Mistari naitoa hapahapa! Tuma account namba kwanzaUtanicheki kwenye lile chimbo kwa muda wako π
haya ebu cheza
Nakuona unavyokizungusha π
Nakuona unavyokizungusha π
Chukua mke huyo, muda huu angekuwa anakaangiza huko jikoni
Kataa ndoa πChukua mke huyo, muda huu angekuwa anakaangiza huko jikoni
Tatizo umejifungia π
Unapanga namna ya kula nauli za wananzengo π
Nipe location nije!Tatizo umejifungia π
Njoo hapa 8.8, lakini usivae kizee πNipe location nije!
Nitakula nauli za watu woootee ila sio ya Vincenzo Jr hachelewi kufungua uziUnapanga namna ya kula nauli za wananzengo π
Daah! Kwahiyo umeona mimi wa kuvaa kizeeπ€Njoo hapa 8.8, lakini usivae kizee π
Mabaharia tuko hoi hapa πNitakula nauli za watu woootee ila sio ya Vincenzo Jr hachelewi kufungua uzi
πWewe sema tu ni mpiga nyetoKataa ndoa π