JF Chat: All members chat

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huu wa motooo, ndo maana kipipa kimevurugwaaa balaaa, mda wotee kuwehukwaaa, kumbe kalambwaa na wajanjaa wamesengaa njee.

Akhiiiiiii JF nzitooo, naigawa bureeee mwayaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watuuu weuweeeee!!!!
 
Kipipa hana jipya kawa chizi dadeq 😂😂😂
This is JF unapokelewa km ulivyokuja.!!
Mzee wa upako kapita shwaaaahh halafu kapiga mikausho mikali. 😹😹😹

Nasikia ukitaka ugomvi naye basi simulia story za kipipa 😂😂😂
 
Uduguuu em nitumiee kuleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya chaap bhana wee!! Nasubiriiii
Aiiiiiii nyie mi chitaki jomoonii 😂😂
Ubuyu ulinikaba koo huu nusu nikufwee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unanichekeshaaa ujueee!! Kule kuvurugwa sio kawaida yaan.

Unaijia pupa JF waijua, au waisikiaa? Watu wapo kuwapokea waja km wanavyojiletaaa.

Nawazaa huko kwa Bed, alifirigiswaa vipi, au hakutoa show ya maana? Mzee wa mithalii akaona ajipitiee kuleee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weraaaaa weraaaa.
 
Aiiiiiii nyie mi chitaki jomoonii [emoji23][emoji23]
Ubuyu ulinikaba koo huu nusu nikufwee!!
Kwanini ukabwee koo na wapokeajii wa ubuyuu tupo kukusaudia kuubebaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiraniiiii hukuuuuuu!!!!
 
Mzee wa nini kimetokea legendary halafu muhuni kitambo.!!
Vitu km vile kwake ni km kumsukuma mlevi, unaambiwa akacheck km yaliyomo yamo kumbe hamna kitu kipipa nyau mbovu mma nyingi 😂😂😂😂

Basi alivyoona hivyo akampa kikono ndio kupiga simu hazipokelewi, msg hazijibiwi mzee wa mafuta na maji kampotezea ss hivi ana pisi kali moja hivi ya moto inabembelezwa huko tsap na kubebishwa balaa.!!

Mzee wa nini kimetokea sio mtu mzuri kafanya machizi waongezeke usingizi haupatikani 24/7 yupo kushangaa km server za JF mana hata mods wana zamu.! 😹😹😹
 
Kwanini ukabwee koo na wapokeajii wa ubuyuu tupo kukusaudia kuubebaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiraniiiii hukuuuuuu!!!!
😂😂😂 hii ilinichekesha sana khaaa.!!
 
Uduguuu unanifanyaa nawehukwaaa kwa kuchekaaa.
Watu wabayaaaaa jamaniii, 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…