Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huwa unajifurahisha sana unaposemaga jf yote ipo kiganjani😂Watu weuweeeeeee!!!! JF ina wenyewee na wenyewee ndo sisi.
Iko mabegani na kiganjaniii!! Yaan mwendo wa kugusaa tyuuh.
Mzee wa Ufunuo, nikimuona mbinguni naandamanaaa, aaaah wee ni mtuu mbaaaadiiiiiii.
Watu mwendo wa humuu tyuuuh, "top up styles "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vita yangu na yako kipindi kile bila mods kuingilia ningekutoa damu😂