JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ wamezagaaa sana.. itakuwa hutaki kujaza wanzugu kwa mtu tu
Haha! Mkuu napenda afya yangu sitaki kuwa jitu la manjia mengii!.. halafu mapenzi yanaumiza ukienda hovyohovyo naupenda moyo wangu bado!.. wazungu sitaki waniendeshe.
 
sema wanafirisi mzeee.. maana huwezi mnyandua mtu bila kufuta jasho hata kama wako ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ hata mie naelekea kuacha.. matumizi yanakuwa juu kupita kipatoo.. mwisho wa siku niwe markmuga part 2
 
Nilikwambia hiyo ni forex ilayo..๐Ÿ˜‚

Vipi hajamaliza tu Kuna kitu nataka nipime..!๐Ÿ˜…
 
Silioni eti

Salama kabisa ..sijui wewe komamanga Cha upweke
Haha! Hata wewe ni mpweke my wako yuko wapi..

Ukitaka nikuonyeshe hilo shipa niruhusu..๐Ÿ˜…
 
Wewe siyo mpweke mie... My wangu anapambana kunitafutia msosi nile nizidi kunenepa afurahi๐Ÿ˜‚
Embu niambie kwanza Hilo shipa linapatikana wapi?
 
We nenepa hovyo tu utapigwa cha ubavu uanze kulia!

Linapatikana kwenye mwili wako..๐Ÿ˜‚
 
Embu niache ninenepe ovyo ..Cha ubavu my tz11...

Nimejichungulia sioni shipa..๐Ÿค”embuu shipa si hua mnalo wanaume kwa jina lingine busha au!!!
 
Kiswahili ulipataga ngapi..?๐Ÿ˜‚
Unamatusi ya rejareja!.. shipa namaanisha kunona kwako nataka nikufanyie vurugu..๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom