Unajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara ππJukwaani kila siku nachangia mkuu, yaani mdauπ
Ndio wanapiga hapo biriani ijumaa LeoKwani msosi washapewa?π€
We nae!! Melo wa nini tena usituchome mimi pm nimefunga hapa ndo kijiwe changu na min akeeeπUnajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara ππ
πππ sawa mkuu nimekubali.Unajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara ππ
Dah! Umezidi upoleππππ sawa mkuu nimekubali.
ππππ Kwamba nikimtaja bosi nawachoma π€£πππWe nae!! Melo wa nini tena usituchome mimi pm nimefunga hapa ndo kijiwe changu na min akeeeπ
Ndio! Umewaambia wafanyakazi wake hawajalaπ€ππππ Kwamba nikimtaja bosi nawachoma π€£πππ
Leo ijumaa kuchelewa kula kawaida Leo biriani day ππNdio! Umewaambia wafanyakazi wake hawajalaπ€
Wanetu hao wanamalizia biriani9 People are here
Nani kakwambia?π wakija hapa usikimbieWameniambia wamefurahi sana πππππππππ€£ππ
Hawana shida hao sio wakorofi sio wabishi sana hawana baya wapo very humbleNani kakwambia?π wakija hapa usikimbie
Haina shida maana picha yangu wanayo mbona Hawa wanetu wapo very goodUpo tayari kupigwa picha?π
Mimi siendiπ naogopa pichaHawana shida hao sio wakorofi sio wabishi sana hawana baya wapo very humble
π€£πππ Acha uwogaMimi siendiπ naogopa picha
Nahitaji ulinzi!π€£πππ Acha uwoga