Utajua tu ikikubana kwenye kona..πVIX imebeba kila kitu na nina weza ku prove.. forex ina run nyuma ya hiyo VIX
leo sijui nachofanya hata
View attachment 2130607
Tazama hizo shadow zote ( wick ).. zote zina maana na ndio zina drive market.. ukiona kuna wiki juu iliyopiga pair kama GBPJPY lazima ukute imeshuka kwasababu wakulungwa huwa wanatoa vyao kwa ajiri ya risk mbali mbali au kwa maanza zingineThanks ndugu kwa madini..
Cocastic sijaachwa mimi Wala sina stress na mapenzi ni upweke tu mduchu..πWee KENZY utakuja ufe kwa stress, si ufanye mambo mengine achana na mapenzi uwiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cna hata mie.Unayo unipe nataka nirudie kuicheki..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli shemuz wa 3?uwiiiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka unanichimba
Hehehehe...ninachokupendea unajua kugonga penyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama picha huelewi hata kusoma je?[emoji15][emoji3064][emoji849] Maana yake..?
Napenda sana kusoma candlestick ndio huwa zinanipa mwanga wa Mambo yanakwendaje.. nikirudi mara hii nataka nijifue kwenye swala la muda wa kuingia sokoni na kutoka,maana huwa nasoma vizuri kabisa tatizo Sasa kwenye muda..πTazama hizo shadow zote ( wick ).. zote zina maana na ndio zina drive market.. ukiona kuna wiki juu iliyopiga pair kama GBPJPY lazima ukute imeshuka kwasababu wakulungwa huwa wanatoa vyao kwa ajiri ya risk mbali mbali au kwa maanza zingineView attachment 2130611
Hebu nifanyie vurugu nikuone jaman, mie ndo ntakuvuruga uwe kichaa, sio stress tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic sijaachwa mimi Wala sina stress na mapenzi ni upweke tu mduchu..[emoji23]
Halafu lile zoezi ukaacha sijui nikufanyie vurugu..[emoji848]
π€£π€£π€£Kwisha habari..ππππππ
Utaona pepo kweli wewe..?
π€£π€£π€£π€£π€£Mdogo angu embu tulia kwanzaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli shemuz wa 3?uwiiiiiiih
Muda rahisi sana kucheza nao, fatilia fundamental analysis kupitia huko utaona mda wa kuingia na kutoka..Napenda sana kusoma candlestick ndio huwa zinanipa mwanga wa Mambo yanakwendaje.. nikirudi mara hii nataka nijifue kwenye swala la muda wa kuingia sokoni na kutoka,maana huwa nasoma vizuri kabisa tatizo Sasa kwenye muda..π
Kwani umeambiwa mimi sina prime minister..? Hata huko inawezekana.πHebu nifanyie vurugu nikuone jaman, mie ndo ntakuvuruga uwe kichaa, sio stress tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule nimezuiwa bhana, mbna ningekufanyia needful jomoneeeeh bablai. Uwiiiiiiih
ππππ Nimepatia bwana...tena kamati kuu sasa jiroge na midhambi yako uoneDada umekosea sio kupiga bali kupigwa rekebisha,watu na kamati zao..ππ
Thanks.. Kuna hii pair USDJPY ilishaganifundisha forex ni nini..!π€£π€£ Sign zote za kushuka zilionyesha lakini wale wahuni wa interbank huko sijui waligusa waya gani!.. ila silaumu sana coz nami niliingia kichwakichwa nikapewa vichwa..πMuda rahisi sana kucheza nao, fatilia fundamental analysis kupitia huko utaona mda wa kuingia na kutoka..
USDJPY huwa si trade kabisaa.. ina mwendo wa kisengeee sana.. inatembea mda wake inaotaka.. na ikikukuta umekaa vibaya kilioThanks.. Kuna hii pair USDJPY ilishaganifundisha forex ni nini..!π€£π€£ Sign zote za kushuka zilionyesha lakini wale wahuni wa interbank huko sijui waligusa waya gani!.. ila silaumu sana coz nami niliingia kichwakichwa nikapewa vichwa..π