mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
amapiano ndo kali we mzeeNgoma kali hiyo dogo😁
Na ww una sera gani???😂😂Achana nae huyo mshamba atakuaibisha bure 🤣
Nikikuachia utampa hiyo PC kweli.Achana nae huyo mshamba atakuaibisha bure 🤣
Sidhani kama ataweza...Nikikuachia utampa hiyo PC kweli.
There should be a reason.People change..
Reason ni kwamba Sina muda ...Niko tight kweli...so ntumie tu ela si et eehThere should be a reason.
Kiasi gani?Reason ni kwamba Sina muda ...Niko tight kweli...so ntumie tu ela si et eeh
400kKiasi gani?
Nipe acc no..400k
Njoo mimi nikumirikishe nchi yote ya misri na bahari ya shamu😎
Sasa hivi..?Nipe acc no..
Yes.Sasa hivi..?
Takupa no ya wakala si ndioo eehNipe acc no..
Huna acc noTakupa no ya wakala si ndioo eeh
Ndio sinaHuna acc no
Namba ya simuNdio sina
Namba ya simu
Ukinipa namba ya wakala unadhani nitarudishaje pesa yanguTakupa ya wakala