JF Chat: All members chat

Hope urassa Fake P & ephen_ asanteni kwa upendo ndugu zangu....Mi binafsi moyo wangu umekufa....Nina asili ya hasira na katu hazitoisha I swear....mtu hujawahi mkosea,anakusema vibaya huko unapotezea...unavumilia....jamani huyu Kaka simfahamu hata sura jaman....hata tumbo hilo wanamwongelea ukubwa wake silijui....nimeanza masomo nikaongea Kama masihara usiku wa manane kuwa nahitaji msaada wa PC ....ulikuwa Kama utani watu wanajibu tunacheka....Bantu lady alianzisha uzi nikaomba Tena nichangiwe ....waliiona ni kitu nipo serious walinifata PM ....Hadi naandika muda huu nimefanikiwa kupitia michango hiyo nami niliyokuwa nayo nikajazia.Sasa nashangaa haya mazoea ya kutaka kunichafua sijui yametoka wapi.Ila niwe mkweli Sina asili ya kusamehe mtu aliyechagua kuniumiza makusudi....RAFIKI AKIGEUKA KUWA ADUI MEANS HAJAWAHI KUWA RAFIKI TANGU MWANZO.Aendelee kuumiza mioyo ya watu hakika atavuna
 

View: https://youtu.be/3q-X3XCbPdM?si=zengbvYacgVItPlc
 
Dah..mejikuta nadondosha chozi🥺
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…