Kwa wasabato ndioKesho ni sabato
Sabato njema kwako na familia yenu ya wasabatoKwa wasabato ndio
Ndo natoka jumuiya apa we msabatoSabato njema kwako na familia yenu ya wasabato
Salam mariaNdo natoka jumuiya apa we msabato
Umejaa neema......Salam maria
Yani Leo wamenichosha balaa Hao wasbato had nimechukia sherehe ya LeoSabato njema kwako na familia yenu ya wasabato
Wamekufanyaje mkuu wangu mpishi.?Yani Leo wamenichosha balaa Hao wasbato had nimechukia sherehe ya Leo
AminaUmejaa neema......
Nikopoa mambo viphaujambo aaliyyah..?
Nimeweka ela ya gauni nililipenda ijumaa asubhi dukani nikamwambia nitaenda jion kuchukua jion ilibaki kama elf 10,naenda wamefunga nikasema nitaenda asubh Nina harus natakiwa kwenda napiga simu anasema j mos hafungui nikamuomba na kubembeleza akasema subr nusu saa nimekaa akapiga anasema hawez kufungua Nije jumapil na na wakat shereeh ni siku hiyo jion mbaya Zaid ana Hela yangu akawa hapokei na simu,nitampigia msichana wake ambae sio msabato na ndo analala na funguo kasema boss kasema asifungue mwisho ane simu akawa hapokei kabisa Kila mtu alishangaa ikabidi niangalie namna nyingineWamekufanyaje mkuu wangu mpishi.?
Na walivyo na msimamo na siku ya sabato hawabadilishagi msimamo wao hata kwenye jambo la kutumia busara wao kwao wanaona kama wanakiuka kanuni na dhambi. Hawa kina Ms R wanazingua sana. Pole kwa mkwamo wa kisabato.Nimeweka ela ijumaa asubhi dukani nikamwambia nitaenda jion kuchukua jion ilibaki kama elf 10,naenda wamefunga nikasema nitaenda asubh Nina harus natakiwa kwenda napiga simu anasema j mos hafungui nikamuomba na kubembeleza akasema subr nusu saa nimekaa akapiga anasema hawez kufungua Nije jumapil na na wakat shereeh ni siku hiyo jion mbaya Zaid ana Hela yangu akawa hapokei na simu,nitampigia msichana wake ambae sio msabato na ndo analala na funguo kasema boss kasema asifungue mwisho ane simu akawa hapokei kabisa Kila mtu alishangaa ikabidi niangalie namna nyingine
Kiukweli hanioni Tena dukani kwake
Kwan walifungua j mos wanaenda motoni
Nikawaza na kumuomba kule anisaidie Mungu gani wanaemuabudu ambae hata upendo Hana jamn
Yani alafu bas Ile kijeuri siwez kufungua bas ijumaa angesema nafunga mapema na j mos sifungui akakausha yaniNa walivyo na msimamo na siku ya sabato hawabadilishagi msimamo wao hata kwenye jambo la kutumia busara wao kwao wanaona kama wanakiuka kanuni na dhambi. Hawa kina Ms R wanazingua sana. Pole kwa mkwamo wa kisabato.
Wana miongozo yao ambayo binafsi huwa naona ya ajabuYani alafu bas Ile kijeuri siwez kufungua bas ijumaa angesema nafunga mapema na j mos sifungui akakausha yani
Hiv wakikutana mtu ghafla njian anahitaji msaada Huwa wanapita kuwahi sabato?
J mos hawanunui hata karanga za kutafuna?
pole..😂Nimeweka ela ya gauni nililipenda ijumaa asubhi dukani nikamwambia nitaenda jion kuchukua jion ilibaki kama elf 10,naenda wamefunga nikasema nitaenda asubh Nina harus natakiwa kwenda napiga simu anasema j mos hafungui nikamuomba na kubembeleza akasema subr nusu saa nimekaa akapiga anasema hawez kufungua Nije jumapil na na wakat shereeh ni siku hiyo jion mbaya Zaid ana Hela yangu akawa hapokei na simu,nitampigia msichana wake ambae sio msabato na ndo analala na funguo kasema boss kasema asifungue mwisho ane simu akawa hapokei kabisa Kila mtu alishangaa ikabidi niangalie namna nyingine
Kiukweli hanioni Tena dukani kwake
Kwan walifungua j mos wanaenda motoni
Nikawaza na kumuomba kule anisaidie Mungu gani wanaemuabudu ambae hata upendo Hana jamn
Nimeenda Leo knmbia duka lake hata mteja akikuta kafunga geti nusu Huwa hafungui Tena😃pole..😂