Nimewapokea kama walivyokuja.Mh! kuwa polite haipendezi mtoto mzuri kama wewe kuwa na majibu magumu hata kama kitu hukitaki..
Itakuwa hawahudhurii vikao🤣mkuu nawe tulia sasa kumbe mnavurugu vijana ndio maana mnanyimwa haiombwi hivyo...😅
Wewe endelea kula maisha magumu huko Ntwara Dar utapasikia kwenye bombaKijana ungetafuta kazi..
Wenzako ulio graduate nao washaanza kujitegemea ww bado upo kwa shemeji yako! Shauri yako dogo.
Ndoa ipo na itaendelea kuwepo kwa uwezo wake mungu!sawa tuachane nao.. vipi ndoa yako bado unayo ama shetani alishaingilia kati..?
Ushapigwa mimba tena? Ile avatar ya kitumbo umeitoa?Kijana ungetafuta kazi..
Wenzako ulio graduate nao washaanza kujitegemea ww bado upo kwa shemeji yako! Shauri yako dogo.
Hahaha ndio bana..nipo ukingoni kabisa tenahaha! kumbe tayari ushanenepeshwa! mbona kama upi haraka sana!
Hahaha kwannBasi nishajua kwanini uliwahi kuweka pete kidoleni..🤣
Wala hata tulifanya makosa mengine ila siyo hilo 🤣Mlikuwa mnawahi kilichojiwahi...😁
Aah we nae huna D mbili bnakosa gani..?😀
Haikuwa hivo uchafu ulitupwa nje nakumbuka 🤣sasa mlipoona inaenda kubainika si ndo mkanyanyua pete maana matokeo yakula tunda kabla yachakula yangewaumbua ule unenepaji huwa haufichiki..😀
0kmhaha! nyama bado mpya hii isn't it engine haijachakazwa basi nishamuelewa mvalisha Pete!