JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Kijana ungetafuta kazi..
Wenzako ulio graduate nao washaanza kujitegemea ww bado upo kwa shemeji yako! Shauri yako dogo.
Wewe endelea kula maisha magumu huko Ntwara Dar utapasikia kwenye bomba
 
sasa mlipoona inaenda kubainika si ndo mkanyanyua pete maana matokeo yakula tunda kabla yachakula yangewaumbua ule unenepaji huwa haufichiki..šŸ˜€
Haikuwa hivo uchafu ulitupwa nje nakumbuka 🤣
 
Back
Top Bottom