JF Chat: All members chat

Haikuwa kwa kupenda kwao.
Walitamani wazae watoto wengi ila ndo hivo kila kitu ni rizki s unajua tena!
waambie pole!, basi bwana mkubwa anakazi yakukulinda!.. sasa fanya hivi wewe zaa halafu kawajazie wajukuu wachangamshwe wasikae kipwekepweke!
 
waambie pole!, basi bwana mkubwa anakazi yakukulinda!.. sasa fanya hivi wewe zaa halafu kawajazie wajukuu wachangamshwe wasikae kipwekepweke!
Upo kwenye kichwa changu!
Mungu anisaidie yani nitafyatua haswaa
 
Atakao niruzuku mwenyezimungu, hata wawe kumi ni safi tu!
katika hao kumi mmoja wakwangu haiwezekani afaidi yeye tu wote kumi wawe wakwake hata namimi nina moyo na damu na wivu ninao..🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…