JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Akhu!! Ushemeji haufi sitaki yatokee kwa sele, wakirudiana unaanza kuumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Ogopa watu wanaogusanisha vitovu vyao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii wee acha kuwa muogaa bhanaa.
Kwani huniaminiii?
 
C kama ile unasema mke anainamishwa mbuzi kagoma kwenda 😔
Kweli umeanza kunipenda 😂😂😂
Mtu akishaanza kununa na comments zangu ambazo najua haziko poa, najua tayari kumekucha.!! 😘😘
Ntaacha Mbaga usijali mahi lavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii wee acha kuwa muogaa bhanaa.
Kwani huniaminiii?
Akhu! Sitakiiii kabisa, mtu anayefanya maamuzi bila kurudi nyuma ni mimi peke yangu. 😂😂😂
Nyie wengine siwaamini ndiomana nakaa pembeni sana sana nawasapoti na mahaba yenu, kwenye ugomvi nawapa maneno ya kuwatia moyo imeishaaa hiyo.
 
Akhu! Sitakiiii kabisa, mtu anayefanya maamuzi bila kurudi nyuma ni mimi peke yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wengine siwaamini ndiomana nakaa pembeni sana sana nawasapoti na mahaba yenu, kwenye ugomvi nawapa maneno ya kuwatia moyo imeishaaa hiyo.
Wee ndo muongo sio wa kukuaminiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hukumbukiiii eeeeh? Jizime data hivyooo, sema sahivi ni kukaa kimastaa no kuingilia husiano la mtu, kitakulambaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli umeanza kunipenda 😂😂😂
Mtu akishaanza kununa na comments zangu ambazo najua haziko poa, najua tayari kumekucha.!! 😘😘
Ntaacha Mbaga usijali mahi lavu.
Kimewaka au siyo 😂
 
Wee ndo muongo sio wa kukuaminiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hukumbukiiii eeeeh? Jizime data hivyooo, sema sahivi ni kukaa kimastaa no kuingilia husiano la mtu, kitakulambaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi uduguu na mchanga nalamba ndo ntoleee hiyo sigeuki nyuma tenaah.!! Drama za jf nimefunga rasmi 🔒

Ila ww na shogire wa chaka to chaka hamuaminiki kabisaa, hamna dhamana. 😂😂😂😂
 
Najua, mtu akianza kupenda anaanza kutaka kukushepu lazima 😂😂😂😂
Anahisi tayari ushakuwa mali yake
😂 Ila ht usipokuwa wangu, ila kuna namna najisikia vibaya nikiona kuna mambo hayapo sawa kwa girl nayemuelewa.
 
Hivi ni nini kinatokea mpk mnakuwa hivyo?? Mana sio mara moja unajisemesha na comments zangu? 😂😂😂😂
Halafu sijui kwann hii inatokea sana mtu akianza kunionyesha kunipenda anaanza hizi hekaheka?!! Halafu muda huo yy mwenyewe anakoment pumba km wewe Mbaga, naonaga comments zako tena zingine mpk unatukana.!! Ila ww hupendi kuona hivyo kwangu.!!! Ujue mnanishangaza?!!

Bas kuanzia sasa ntayafanyia kazi, ………✍️ noted
 
Mm cjawah kumtukana mtu humu labla kupishana kauli tuu, afu khs comment zangu bhana ujue mm n mwanaume afu ww n mwanamke hvy lazima ubehave vzr ht kama hakuna anayekujua humu 😂
 
Kweli umependa mpare 😂😂
Hayo maneno umeyaongea kwa sauti ya wivu na mapenzi mazito.!! Haya nitayafanyia kazi ila unipe muda, kuna comments zingine nakosa uvumilivu.!!

NB; Mimi sio mpenzi wako. Nafata ushauri tu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom