JF Chat: All members chat

Hizo za saizi ndo tamu!..

Hivi kwanini wanajf kila linapokuja swala la kuumizwa na mapenzi mimi ndo nimekuwa wa mfano..? Imefika hatua Sasa mpk nimechoka..[emoji28]

Kwani uongo [emoji28][emoji28][emoji28]na bado
 
Unaona sasa, me nilikwambia mapenzi huyawezi waachie wenyeweπŸ˜‚ utakuja data bure
Nayaweza mi mbona lejendari! Kupigwa vya ubavu hilo ni swala la Mambo mbalimbali tu.πŸ˜…
 
Bado mkuu hapo nasubiri vigezo vikitimia hapo napigania vigezo viwili.
Hivi na Twitter inalipa au ndo nililishwa matambala..?πŸ˜‚
 
Nayaweza mi mbona lejendari! Kupigwa vya ubavu hilo ni swala la Mambo mbalimbali tu.πŸ˜…
Hahahaa wacha tuone kama mtadumu sasaπŸ˜›πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Hivi na Twitter inalipa au ndo nililishwa matambala..?πŸ˜‚
Hapana mitandao mingi ya kijamii watu wanatumia kujibrand ili wafahamike iwe rahisi kufikiwa na wateja wao. Lakini pia huko labda ufaidike kwa Directly Adsence (self advertisement) yaani matangazo yako binafsi mfano kampuni fulani liku face ili ulitangazie biashara yake huko.

Mfano kama Millard Ayo anavyo tangaza matangazo ya Palm village
 
Hahahaa wacha tuone kama mtadumu sasaπŸ˜›πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Nakuhakikishia tutadumu mi master hutasikia kelele za kimeumana..
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
Hapo ndio kujitafuta kwanza maana Mtu/Kampuni kukuomba uwafanyie Advertisement hapo wanaangalia na public figure yako hapo ukiwa Maarufu au na wafuasi wengi shavu hilo litakuangukia.

Na hapo na mimi bado najitafuta siku nikifanikiwa kuwa na public kubwa basi itakuwa rahisi sana kupenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…