JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Unaona sasa, me nilikwambia mapenzi huyawezi waachie wenyewe😂 utakuja data bure
Nayaweza mi mbona lejendari! Kupigwa vya ubavu hilo ni swala la Mambo mbalimbali tu.😅
 
Kwenye Huu Uzi KENZY nakufananisha na Ukraine[emoji1787]
JamiiForums-356276054.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na Twitter inalipa au ndo nililishwa matambala..?😂
Hapana mitandao mingi ya kijamii watu wanatumia kujibrand ili wafahamike iwe rahisi kufikiwa na wateja wao. Lakini pia huko labda ufaidike kwa Directly Adsence (self advertisement) yaani matangazo yako binafsi mfano kampuni fulani liku face ili ulitangazie biashara yake huko.

Mfano kama Millard Ayo anavyo tangaza matangazo ya Palm village
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
 
Kwanini usiamue kufanya hivi..?
Hapo ndio kujitafuta kwanza maana Mtu/Kampuni kukuomba uwafanyie Advertisement hapo wanaangalia na public figure yako hapo ukiwa Maarufu au na wafuasi wengi shavu hilo litakuangukia.

Na hapo na mimi bado najitafuta siku nikifanikiwa kuwa na public kubwa basi itakuwa rahisi sana kupenya.
 
Back
Top Bottom