Uliziona wapiAnafuga kucha na nywele huyu.
Aaache shobo sio Kila mtu ana muuliza maswali ya hovyoSijapenda ulivyomshushua unajua huyu ni mstaarabu ukifanya hivyo atanywea😣
Usiwaze Mkuu 😂😁Nisamehe mkuu😁
Safi sana maisha madogo mazuri nayenye afya .Hata mimi napenda kufuga ng'ombe kuku na bata
Watoto wangu ndio watakua na kibarua cha kuangalia mifugo
Siwezi kuwaza mkuu , najua utani na urafiki😁😁Usiwaze Mkuu 😂😁
Shemeji mndava 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamuu kanichekeshaa jana, anasemaje muambie huyo Dogo kuwa aache mazoea na wee na kuja hapo kwako, lasivyo anachokufanyaga wee na mie nitamfanya yeye.
Nilikasirika nikaanza kumchamba asinidharau kihivyoo. Huyu dogo ananifanya nn mie? Yeye anajibu nimeshakuambia wee muelekeze hivyoo.
Sasa uduguuu naanzaje mie kumuambia dogo haya mambo, yaan ba tamu sijui km havuti mjani huyuu. Khaaaah.
Mwenzio nishachezea vitasa sana hiyo kujifanya unafahamiana na watu hovyo, halafu hata km umemwambia basi sikutaki.!! Yeye hilo suala la kuachana halipo, akikukuta na mtu lazima umpe maelezo mna mahusiano gani?? 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sijui itakuajee, woiiiiih
Juzi alitaka kukiwashaa njiani, yaan had aibu niliona mie, nkawa najiuliza huyu hajistukiii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji mndava [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume vichaa vichaa km shem mi ndio nawaelewa sijui kwann?? Yani mwanaume mjinga mjinga hana hekaheka ananiboa kinouma.!!
Mwanaume anatakiwa akikukuta na mtu hamuelewi akiwashe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pamoja Sana kaka 😂😁😁Siwezi kuwaza mkuu , najua utani na urafiki😁😁
Ndo huyuu ba tamuu, ukimuona kwa nje mpolee, mkimyaa, mtaratibu, hana tyme na mtu, yuko buzz na yakee, kumbee kichaa kabisaa.Mwenzio nishachezea vitasa sana hiyo kujifanya unafahamiana na watu hovyo, halafu hata km umemwambia basi sikutaki.!! Yeye hilo suala la kuachana halipo, akikukuta na mtu lazima umpe maelezo mna mahusiano gani?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kuna viumbe ni matatizo!! Ukimuangalia hata humdhanii km ana kichwa kibovu, huwa wanamsifia mpole, kumbe ni kichaa mbwa anasubiri.!!
Oya nimecheka hadi hapa kazini Kila mtu ananitazama usoni 😂😁😁😁😁😁Juzi alitaka kukiwashaa njiani, yaan had aibu niliona mie, nkawa najiuliza huyu hajistukiii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ba tamu kibokoo, mwanzo nlimuonaga ni mkimya na mpolee, kumbe alitaka niingie kwan kwenye 18 zake afu ndo anioneshe yeye alivyo.
Basi asione naongea na cm napeana umbea na mtu, utamsikia wee bila kuongelea watu huwezi? Kata cm haraka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijaribu kumpa umbea n udrakuu afu hatakii utashangaa anakuziba mdomo na kiganjaa, ananikata mood.
Sasa awe buuzzy na kucheza PS afu wee jifanye kumsumbua, anakukata kwanza jicho la mama mkanye mwanao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyo alinipiga kwenzi, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii.Oya nimecheka hadi hapa kazini Kila mtu ananitazama usoni [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣 Mimi nikimpa story ya mtu hata hanisikilizi anakausha, sasa kuna siku kuna mmama alijimix akatuma tumbua kwenye status badala ya kumtumia aliyemkusudia.!! Watu si wakaona, wakasambaza upendo bana.!!Juzi alitaka kukiwashaa njiani, yaan had aibu niliona mie, nkawa najiuliza huyu hajistukiii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ba tamu kibokoo, mwanzo nlimuonaga ni mkimya na mpolee, kumbe alitaka niingie kwan kwenye 18 zake afu ndo anioneshe yeye alivyo.
Basi asione naongea na cm napeana umbea na mtu, utamsikia wee bila kuongelea watu huwezi? Kata cm haraka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijaribu kumpa umbea n udrakuu afu hatakii utashangaa anakuziba mdomo na kiganjaa, ananikata mood.
Sasa awe buuzzy na kucheza PS afu wee jifanye kumsumbua, anakukata kwanza jicho la mama mkanye mwanao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyo alinipiga kwenzi, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa had baas, woiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nikimpa story ya mtu hata hanisikilizi anakausha, sasa kuna siku kuna mmama alijimix akatuma tumbua kwenye status badala ya kumtumia aliyemkusudia.!! Watu si wakaona, wakasambaza upendo bana.!!
Mimi nilivyolipata nikawa nampa story na huyo mama anamfahamu na anamuheshimu, nilijua atanifurusha weeeh chezea nguvu ya bwambwa wewe.!! Akasema lete tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamgomea akanipokonya simu, akaliangalia akasikitika nikaona mtu ananishika mkono tupandishe ngazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku kuna mtu kapanda hewani, body imekolea vyuma vya gym.!! Yani ukijitia kichwa kibovu lazima uchezee vitasa, na mimi na gubu langu hata sijaliii ndo kwanza namchachua mwanzo mwisho 😂😂😂Ndo huyuu ba tamuu, ukimuona kwa nje mpolee, mkimyaa, mtaratibu, hana tyme na mtu, yuko buzz na yakee, kumbee kichaa kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hii sauti yake ya Bass akiongea, mie hoiiiiih.
😂😂😂😂 Hilo ndio muhimu, mengine tuvimiliane. Kila mtu ana mapungufu yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii uduguuu akeee, muhimu ni kuwa wanatujali na kutupendaa!! [emoji178][emoji178]
🤣🤣🤣🤣 hatari uduguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nachekaa km chizii hapa ujueee.
Saiti mkwe wako anaingia kila muda kuimarisha ulinzi😂Mkwe nimekumiss pia. Wewe si umetoroka saiti