JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamuu kanichekeshaa jana, anasemaje muambie huyo Dogo kuwa aache mazoea na wee na kuja hapo kwako, lasivyo anachokufanyaga wee na mie nitamfanya yeye.

Nilikasirika nikaanza kumchamba asinidharau kihivyoo. Huyu dogo ananifanya nn mie? Yeye anajibu nimeshakuambia wee muelekeze hivyoo.

Sasa uduguuu naanzaje mie kumuambia dogo haya mambo, yaan ba tamu sijui km havuti mjani huyuu. Khaaaah.
Shemeji mndava 😂😂😂
Wanaume vichaa vichaa km shem mi ndio nawaelewa sijui kwann?? Yani mwanaume mjinga mjinga hana hekaheka ananiboa kinouma.!!

Mwanaume anatakiwa akikukuta na mtu hamuelewi akiwashe 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sijui itakuajee, woiiiiih
Mwenzio nishachezea vitasa sana hiyo kujifanya unafahamiana na watu hovyo, halafu hata km umemwambia basi sikutaki.!! Yeye hilo suala la kuachana halipo, akikukuta na mtu lazima umpe maelezo mna mahusiano gani?? 🤣🤣🤣

Yani kuna viumbe ni matatizo!! Ukimuangalia hata humdhanii km ana kichwa kibovu, huwa wanamsifia mpole, kumbe ni kichaa mbwa anasubiri.!!
 
Shemeji mndava [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume vichaa vichaa km shem mi ndio nawaelewa sijui kwann?? Yani mwanaume mjinga mjinga hana hekaheka ananiboa kinouma.!!

Mwanaume anatakiwa akikukuta na mtu hamuelewi akiwashe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Juzi alitaka kukiwashaa njiani, yaan had aibu niliona mie, nkawa najiuliza huyu hajistukiii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu ba tamu kibokoo, mwanzo nlimuonaga ni mkimya na mpolee, kumbe alitaka niingie kwan kwenye 18 zake afu ndo anioneshe yeye alivyo.

Basi asione naongea na cm napeana umbea na mtu, utamsikia wee bila kuongelea watu huwezi? Kata cm haraka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usijaribu kumpa umbea n udrakuu afu hatakii utashangaa anakuziba mdomo na kiganjaa, ananikata mood.

Sasa awe buuzzy na kucheza PS afu wee jifanye kumsumbua, anakukata kwanza jicho la mama mkanye mwanao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyo alinipiga kwenzi, woiiiiiih
 
Mwenzio nishachezea vitasa sana hiyo kujifanya unafahamiana na watu hovyo, halafu hata km umemwambia basi sikutaki.!! Yeye hilo suala la kuachana halipo, akikukuta na mtu lazima umpe maelezo mna mahusiano gani?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani kuna viumbe ni matatizo!! Ukimuangalia hata humdhanii km ana kichwa kibovu, huwa wanamsifia mpole, kumbe ni kichaa mbwa anasubiri.!!
Ndo huyuu ba tamuu, ukimuona kwa nje mpolee, mkimyaa, mtaratibu, hana tyme na mtu, yuko buzz na yakee, kumbee kichaa kabisaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hii sauti yake ya Bass akiongea, mie hoiiiiih.
 
Juzi alitaka kukiwashaa njiani, yaan had aibu niliona mie, nkawa najiuliza huyu hajistukiii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu ba tamu kibokoo, mwanzo nlimuonaga ni mkimya na mpolee, kumbe alitaka niingie kwan kwenye 18 zake afu ndo anioneshe yeye alivyo.

Basi asione naongea na cm napeana umbea na mtu, utamsikia wee bila kuongelea watu huwezi? Kata cm haraka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usijaribu kumpa umbea n udrakuu afu hatakii utashangaa anakuziba mdomo na kiganjaa, ananikata mood.

Sasa awe buuzzy na kucheza PS afu wee jifanye kumsumbua, anakukata kwanza jicho la mama mkanye mwanao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hiyo alinipiga kwenzi, woiiiiiih
Oya nimecheka hadi hapa kazini Kila mtu ananitazama usoni 😂😁😁😁😁😁
 
🤣🤣🤣 Mimi nikimpa story ya mtu hata hanisikilizi anakausha, sasa kuna siku kuna mmama alijimix akatuma tumbua kwenye status badala ya kumtumia aliyemkusudia.!! Watu si wakaona, wakasambaza upendo bana.!!

Mimi nilivyolipata nikawa nampa story na huyo mama anamfahamu na anamuheshimu, nilijua atanifurusha weeeh chezea nguvu ya bwambwa wewe.!! Akasema lete tuone 🤣🤣🤣🤣

Nikamgomea akanipokonya simu, akaliangalia akasikitika nikaona mtu ananishika mkono tupandishe ngazi 🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nikimpa story ya mtu hata hanisikilizi anakausha, sasa kuna siku kuna mmama alijimix akatuma tumbua kwenye status badala ya kumtumia aliyemkusudia.!! Watu si wakaona, wakasambaza upendo bana.!!

Mimi nilivyolipata nikawa nampa story na huyo mama anamfahamu na anamuheshimu, nilijua atanifurusha weeeh chezea nguvu ya bwambwa wewe.!! Akasema lete tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikamgomea akanipokonya simu, akaliangalia akasikitika nikaona mtu ananishika mkono tupandishe ngazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa had baas, woiiiiih
Mbona nguvu ya bwabwaz!!
 
Ndo huyuu ba tamuu, ukimuona kwa nje mpolee, mkimyaa, mtaratibu, hana tyme na mtu, yuko buzz na yakee, kumbee kichaa kabisaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hii sauti yake ya Bass akiongea, mie hoiiiiih.
Huku kuna mtu kapanda hewani, body imekolea vyuma vya gym.!! Yani ukijitia kichwa kibovu lazima uchezee vitasa, na mimi na gubu langu hata sijaliii ndo kwanza namchachua mwanzo mwisho 😂😂😂

Kashaongea had kachoka, kuna siku alimwambia rafiki yake kuelewana na mwanamke ni kazi ww nenda naye hivyo hivyo.!! Mwanamke huwezi kukaa naye chini mkaongea kitu mkaelewana, hao km watoto. Mnakubaliana harudii ila baadae karudia tena yale yale.!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii uduguuu akeee, muhimu ni kuwa wanatujali na kutupendaa!! [emoji178][emoji178]
😂😂😂😂 Hilo ndio muhimu, mengine tuvimiliane. Kila mtu ana mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom