JF Chat: All members chat

Naona wale walikuwa wanaleta uswahili jana wamefutiwa vijimaneno Yao humu 😁🤣
Bro hivi ndio unapaswa kuwa, sio ile kunifata inbox na kuteta watu. Ule ulikua ni ujinga bro, usirudie kwa wengine

Ww kama una kwere na mtu mpasue hapa hadharani, sio kwenda inbox ili tuanze kumteta, huo unakua ni uoga na ujinga. Alafu tu pia men hatuteti pembeni. Huu ushauri nakupa na ufanyie kazi
 
🤣🤣🤣🤣

Wafanyakazi WA halmashauri hamna wanawake wanataka pesa zetu. Wanatuona hatuna pesa kabisaa.
😂Hao labda slay queens! Tafuta mabinti wanaotulia nyumbani hawana gharama
 
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.


We chat..

Hello jf..?
Kama unaona tunafaid hamia Burundi 😂😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…