Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Bwana akujibu siku ya dhiki....πππMpaji Mungu zaburi 20:1-4
Pole sana π’ umefanyaje tenaπNdo naingia home nowπ₯Ή mwili umepigika
AsantePole sana π’ umefanyaje tenaπ
kuniulza tu usiku,,ila kunisalimia asubuh aaah....mawazo ya amani wala si mabaya...π¦Ύπ¦Ύπ¦Ύ
Vp lkn siku yako
Mi npo fresh!kuniulza tu usiku,,ila kunisalimia asubuh aaah
Safi vipi wewe
Sura ya kwanzaSura ya ngapi?
πππAnajua wapi huyo alisoma madrasa Al Noor saivi amekua rasiSura ya ngapi?
Ni hadithi, sijaisomaSura ya kwanza
Mathayo 1:5-24
Ni hadithi, sijaisoma
πππππππAnajua wapi huyo alisoma madrasa Al Noor saivi amekua rasi
Ujumbe mzuri sana huu23 "Basi ukiwa unaleta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, 24 iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu, enenda, ukapatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi ukatoe sadaka yako."
SureUjumbe mzuri sana huu
Mimi sina kinyongo na yeyote
ngoja namimi nitapoanza kuchomoka nduki,,mtanimiss humuππMi npo fresh!
Asubuhi nachomokaga hiyo nduki nawahi nsije kumbana na foleni....kuingia jf mpaka kwenye saa nne hv, mara chache nalogin mapema