JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

kuniulza tu usiku,,ila kunisalimia asubuh aaah

Safi vipi wewe
Mi npo fresh!

Asubuhi nachomokaga hiyo nduki nawahi nsije kumbana na foleni....kuingia jf mpaka kwenye saa nne hv, mara chache nalogin mapema
 
Mathayo 1:5-24

Ni hadithi, sijaisoma

23 "Basi ukiwa unaleta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, 24 iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu, enenda, ukapatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi ukatoe sadaka yako."
 
Ujumbe mzuri sana huu
Mimi sina kinyongo na yeyote
 
Back
Top Bottom