JF Chat: All members chat

Kwanini siku hizi Tanzania kumekuwa na tatizo la kutamka na hata kuandika maneno yenye R na L.

nakumbuka sisi zamani tulivyokuwa "primary" ukiikosea kutamka R ukatamka L basi utaliandika ubaoni hilo neno huku unalitamka mpaka uweze mara 100 bila kukosea ndiyo adhabu yako inapoishia, ilikuwa ni muwarybaini.

Vipi siku hizi ndiyo shule za kusomea ujinga?
 
unaimba wimbo wa upendo nkone au umejitungia verse yako
Sijajitungia, huo wimbo Sina kumbu kumbu sahihi lakini kama Sio AICC chang'ombe bas ni wale wabulyanhulu......sijui kama ulikua umezaliwa wakati hizo kwaya zikiwa kwenye prime yake
 
Sijajitungia, huo wimbo Sina kumbu kumbu sahihi lakini kama Sio AICC chang'ombe bas ni wale wabulyanhulu......sijui kama ulikua umezaliwa wakati hizo kwaya zikiwa kwenye prime yake
unanchukuliaje wewe,,na navowapenda nyimbo zao nmejaza kwenye flash ,cm, na makongoro🤣,,mzee mimi
 
unanchukuliaje wewe,,na navowapenda nyimbo zao nmejaza kwenye flash ,cm, na makongoro🤣,,mzee mimi
Kipindi chetu ilikua Kanda, upande Moja nyimbo nne upande mwngn nyimbo nne......walikuepo waimbaji kina Malebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…