Tuanzie hapo kwenye kula! Nile vipiKitambi ni kitu kidogo tu ukiwa na nidhamu ya mazoezi na kula
Kwani wewe ni mtoto wa elfu 2?ndio nilikutongoza ukanikataa bila sababu...ππ
Kula unaposikia njaa tu ,wewe unakula ovyo ovyo nakujua, mhm kitambi ni ugonjwa.Tuanzie hapo kwenye kula! Nile vipi
Kwani wewe huna kitambi?
Mbona nakula ninapojisikia njaa tuKula unaposikia njaa tu ,wewe unakula ovyo ovyo nakujua, mhm kitambi ni ugonjwa.
Unakula mpka tumbo zinapanda juu ,asubuh ugaliπππMbona nakula ninapojisikia njaa tu
Umesema ulinitongoza nikakukataa wakati mimi pm yangu imefungwa ulinitongoza wapi na saa ngapikivipi yani fafanua sijakuelewa..
Sasa kula ugali asubuhi kuna shida gani?Unakula mpka tumbo zinapanda juu ,asubuh ugaliπππ
ni hovyohovyo sio ovyoovyo!!!!!!!!!Kula unaposikia njaa tu ,wewe unakula ovyo ovyo nakujua, mhm kitambi ni ugonjwa.
Ndio maana una kitambiππSasa kula ugali asubuhi kuna shida gani?
Duh kiswahili ni kigumu mkuu ππ kweli huyu anakula ugali asubhi.ni hovyohovyo sio ovyoovyo!!!!!!!!!
kula si tu kula bali pia anakula nini muulize anakula nini... kama anataka kupunguza kitambi apunguze kula vyakula vya wanga.
Asante kwa kuninyanyasaNdio maana una kitambiππ
Kitambi si unakitoa tu mkuuπmwambie aache Kenzy anapenda warembo wasio na vitambi..π
Upo kama mimi1. Mimi ni mvivu, ninapokaa hakuna kanisa langu karibu
2. Waumini wa dhehebu langu wakitoka kanisani matendo yao ni yaleyale wivu, usengenyaji chuki
Nilichogundua dini ya kweli ni upendo sio lazima niende kanisani
Nikila vyakula vya protein bila wanga sishibini hovyohovyo sio ovyoovyo!!!!!!!!!
kula si tu kula bali pia anakula nini muulize anakula nini... kama anataka kupunguza kitambi apunguze kula vyakula vya wanga.